TANZIA Mtoto wa mwanamziki Davido Afariki Dunia akiwa anaogelea

kweli ila tunatakiwa kubadilika sasa sio kila tukio tusem ni la ushirikina kuna mtu tukubali ni mipang ya mungu tu
Binadamu tumejitwika uwezo mkubwa kuliko uhalisia kiasi cha kusahau kudra na hukum za Mungu. Kila nafsi itaonja mauti lakini cha ajabu tunawapa wanadamu wenzetu nguvu kubwa kusahau kuwa mauti ni ada ya kila muumba.
kadri siku zinzvyozidi kwenda ndio tunazidi kumsahau Mungu.
 
Msiba mzito sana huuu
 
kabisa mkuu cha umuhimu n kumuomba atupe mwisho mwema sisi na wenzetu pia
 
Rest in peace [emoji120] dogo. Pole kiongozi Davido
 
Kuna yale madude ya kufunika swm pool inakuwaje wanaacha wazi na kuna watoto
yale mara nyingi uwekwa wakati wa usiku . ila wakati wa asubhu mara nyingi swimming uwa wazi kutokana asubuh maswimming mengi ufanyiwa usafi.
 
Kuna mtu mmoja Uganda alipoteza mapacha wa kiume hvhv somo kubwa sana kwetu hakikisha mtoto yupo usoni pako mda wote wapenda kuogelea nunueni inflatables au ile midubwasha ya kujaza upepo na maji unaweka baada ya kufanya usamaki wako unamwaga maji unalitundika hukoooooo
 

Attachments

  • Oeves-Blow-up-Swim-Pool-with-Canopy-.jpg
    97.2 KB · Views: 6
yah this is a good idea kwa kwel
 
Hata hili puto Mzazi ukizembea kidogo tu,unamkosa Mtoto wako!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…