TANZIA Mtoto wa mwanamziki Davido Afariki Dunia akiwa anaogelea

Kuna yale madude ya kufunika swm pool inakuwaje wanaacha wazi na kuna watoto
Kuna mzee nilienda kwake he's rich kutoka Burkina Faso ana swimming pool lake akimaliza kuogelea analifunga na juu anaweka Meza na viti watu wanakunywa na kustarehe na huwezi kujua kama ni indoor swimming pool na hana watoto

Sijui wengine wanafeli wapi huku wakijua wana mtoto mdogo ambae hawawezi kumuangalia kila wakati

Ukisoma Habari zao wanasema mtoto alikuwa humo kwa mda mrefu
 
Afu haya mambo ya birthday za kifahari za watoto wao lazima lizuke jambo zito

Unamkumbuka mtoto wa bushiri?

Baada ya birthday ya kifahari ya yule binti yao kilichofuata[emoji848][emoji848]
 
Afu haya mambo ya birthday za kifahari za watoto wao lazima lizuke jambo zito

Unamkumbuka mtoto wa bushiri?

Baada ya birthday ya kifahari ya yule binti yao kilichofuata[emoji848][emoji848]
Huwa watu wanakufuru kwa pesa zao huku masikini wakiwaangalia kwa jicho la husda

Nimesikia matukio ya hivi mengi na mawili nilikuwepo
Moja ni jamaa alifanya harusi ya kifahari sana nchi moja Africa na furniture zote zilitoka Italy Enzi hizo

Mke siku ya pili akaamua kufukiza nyumba harufu nzuri ila akasahau chetezo karibu na Pazia

Nyumba yote ilitekeketea
Kiburi ni mbaya sana kwani kuna wengine wana macho ya husda sio vizuri kujionyesha sana
 
Hizi zingine ni blah blah....haya ni mambo ya billionaire club mkuu!

Wao wanajua wanachokifanya!

Kuna drama lilikuwa linaendelea kati ya chioma na David kumbe ulikuwa zuga watu wasistukie[emoji848]
Kwa hiyo Kafara ama
 
Afu haya mambo ya birthday za kifahari za watoto wao lazima lizuke jambo zito

Unamkumbuka mtoto wa bushiri?

Baada ya birthday ya kifahari ya yule binti yao kilichofuata[emoji848][emoji848]
Daa yule mtoto wa mchungaji
 
Kuna mtanzania kaenda kutiririka kiswahili kwenye blog za kinaigeria anamlaumu davido kwa uzembe....hahahaha wabongo kazi hawana asee...

Evelyn Salt
Sasa na wwe si ungewatafsiria hicho Kiswahili mashemeji zako wa Kipopoo!!?
 
Huyo dogo ni wa kiume au wa kike???
 
Hizi zingine ni blah blah....haya ni mambo ya billionaire club mkuu!

Wao wanajua wanachokifanya!

Kuna drama lilikuwa linaendelea kati ya chioma na David kumbe ulikuwa zuga watu wasistukie[emoji848]
🤔🤔🤔 kwann tusiseme mipang ya mungu kwan matajir ndo hawatakiw kufa au
 
masikini wanaamini tajiri anatakiwa kutoa na masikini hapaswi kutoa huku tajiri akiamini masikini si mtu kwan ukarib wake ni kwasababu una kitu.

tuombeane mwisho mwema
 
Daah so handsome. Natamani isiwe habari ya kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…