TANZIA Mtoto wa mwanamziki Davido Afariki Dunia akiwa anaogelea

Wamezidi kutengeneza mi swimming pool majumbani kwao na hawana uangalizi mzuri wa watoto

Mungu wangu[emoji24][emoji24][emoji24]

Ila hawa wapopo sio wa kuwaamini sana kuna sacrifice kibao kwenye huo utajiri wao we acha tu[emoji848][emoji848]

Evelyn Salt
Tutegemee ujio wa kutisha kutoka kwa DavidoπŸ˜€πŸ˜€
 
Yup, karibia kila mwaka someone around davido anafariki.
Pia ni november... sacrifice season!
Na mi hili ndo linanitatiza kila mwaka mtu wake anakufa tena yule wa mwisho nae alizama kwenye swimming pool
Nimeona huko kwenye comment kwa wanaija watu wanauliza davido what did you do to ife?
Kama ni kweli anawatoa kafara namuonea huruma chioma kama ye hausiki!
 
masikini wanaamini tajiri anatakiwa kutoa na masikini hapaswi kutoa huku tajiri akiamini masikini si mtu kwan ukarib wake ni kwasababu una kitu.

tuombeane mwisho mwema
Kweli kabisa mkuu
Tuombeane mwisho mwema
Mimi sio muumini wa uchawi bali najua jicho ni baya sana

Tajiri hana ulazima wa kuonyesha ufahari wake kwani zinaweza kuisha zote
Hakuna anaejua atapata au kukosa bali zinakuja tu au hupati tu
 
Hata bint wa Cecil mwambe nae alifia kwenye swimming pool
 
Afu haya mambo ya birthday za kifahari za watoto wao lazima lizuke jambo zito

Unamkumbuka mtoto wa bushiri?

Baada ya birthday ya kifahari ya yule binti yao kilichofuata[emoji848][emoji848]
Me nadhani huwa wanafanya sherehe za kuwaaga maana huwa wanajua nini kinakwenda kutokea.
Ndo style zao hizo.
Maisha ni kuchagua na wamehagua hivyo acha waishi life is short mazeee
 
Swimming sio kwa watoto tu kuna dada juzi raia wa kenya mtu mzima kafa kwenye swimming na alikuwa anaogelea huku anajirekod
Kuna miujiza humo ndani ya maji? Dah hata huku ninapoishi kuna mdada alipoteza uhai kwenye swimming pool
 
Me nadhani huwa wanafanya sherehe za kuwaaga maana huwa wanajua nini kinakwenda kutokea.
Ndo style zao hizo.
Maisha ni kuchagua na wamehagua hivyo acha waishi life is short mazeee
Ila ukiangalia Twitter zao wa Nigerians wanasema ni ndumba maana nao hawajambo kwa Imani za kishirikina

Hizi baadhi ya tweets zao
Halafu compare na likes [emoji106] zilivyo utajua kuna kitu
 
Hizi zingine ni blah blah....haya ni mambo ya billionaire club mkuu!

Wao wanajua wanachokifanya!

Kuna drama lilikuwa linaendelea kati ya chioma na David kumbe ulikuwa zuga watu wasistukie[emoji848]
Nakutegemea kwenye hizi Habari unipe kidogo maana mimi sio mshabiki kabisa wa hao Nigerian
Wamemuuwa labda wanawake wanaomchukia dem wake ama
 
Me nadhani huwa wanafanya sherehe za kuwaaga maana huwa wanajua nini kinakwenda kutokea.
Ndo style zao hizo.
Maisha ni kuchagua na wamehagua hivyo acha waishi life is short mazeee
πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€” kama naanza kupata picha hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…