TANZIA Mtoto wa mwanamziki Davido Afariki Dunia akiwa anaogelea


Mkuu watoto wanakufa kwa maji hata kwenye Ndoo tu hizi wanazotumia majumbani.Solution ni uangalizi mzuri wa watoto
 
kweli kabisa uangalizi wa watot ni muhimu sana maana mtoto sio kiumbe wa kumuamin hata sec 5
Mkuu unafikiri hakuna wasaidizi hapo wa kumuangalia mtoto?
Hapo utakuta mpaka cctv zipo ila cha ajabu mtoto amekuwa ndani ya maji kwa mda mrefu
Mda wote huo hakuna alieona ?
Report za police bado labda kauwawa akatupwa humo we never know
 
Hili ni kweli kuna jamaa mmoja alikuwa dukani kwake kapigiwa simu mwanae kapotea alikuwa anacheza uwani
Kumbe masikini kamedumbukia kwenye jaba la maji
Mtoto tulizika poor kid [emoji22]

Yes niliwahi pia sikia kadhia kama hii miezi kama 5 iliyopita.Dada wa kazi alikuwa nje akifanya usafi,Ameacha katoto kadogo sebuleni kakawashia na Tv hapo.Sasa Mlango wa jikoni Upo wazi.Katoto kaka toka sebuleni nadhani kalikuwa Ndio kameanza kutembea.Kamefika jikoni Ndoo ya lita 20 imejaa maji na ipo wazi.Katoto kama kalikuwa kanachungulia kaka binukia ndani ya ndoo..Mpaka dada anamaliza usafi Katoto kamekwisha poa.
 
Mkuu unafikiri hakuna wasaidizi hapo wa kumuangalia mtoto?
Hapo utakuta mpaka cctv zipo ila cha ajabu mtoto amekuwa ndani ya maji kwa mda mrefu
Mda wote huo hakuna alieona ?
Report za police bado labda kauwawa akatupwa humo we never know
Mmmh 🤔🤔🤔 mambo naona yanazid kuwa makubwa
 
😳😳😳
 
Aisee mimi hamna kitu sipendi kama maji na mambo ya swimming pool yanipite tuu.kama namuona chioma ngoja nikamtembelee kwenye account yake
 
Wamezidi kutengeneza mi swimming pool majumbani kwao na hawana uangalizi mzuri wa watoto



Tutegemee ujio wa kutisha kutoka kwa Davido[emoji3][emoji3]
Imeisha hiyo wamechukua chao [emoji26]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…