Mtoto wa nje Ishmael alituletea waarabu. Nimejifunza kutulia kwene ndoa

Sio kweli, acha uongo.

Ibrahim alizaa Ishmael, pia akazaa mtoto wa ahadi na Sara akiitwa Isaka.

Baada ya Sara kufa, alioa mke akiitwa Ketura akazaa watoto. Na bado alizaa watoto wengine na masuria. Kabla hajafariki aliwaondoa ili wasije kimsumbua Isaka mtoto wa ahadi.

Sasa kati ya Ishmael na watoto wa Ketura na wamasuria ni wapi wamekuwa waarabu wa sasa?

Unadhani dunia au uzao wa waarabu umeanzia kwa Ibrahim kumzaa Ishmael?

Ibrahim asili yake ni Iraq. Je Wairaq ni watu gani? Kama ni jamii ya waarabu, basi tambua waarabu hawajaanza baada ya Ishmael.

Ibrahim alitengwa ili apokee maelekezo ya Mungu tofauti na mapokeo ya wanadamu au jamii yake.

Kuwa makini na watu wa dini watakupoteza.
 
Hii kauli ya nje ya ndoa huwa inanishangaza sana, nje ya ndoa ndo wapi!? Ndoa ni nini? Ukiijua tafsiri ya ndoa basi utagundua hakuna mtoto wa nje ya ndoa.
 
🙄Kama Ibrahim alikua muislam Basi kunatatizo katika mafundisho ya hizi dini. Maana hakua Mkristo Ibrahim.
Hii habar ya dini imefunga watu wengi sana na mapokeo ya wanadamu. Ibrahim hakuwa mkristo wala muislam. Alikuwa mcha Mungu.
 
Simulizi za vitabu vya dini za majahazi zina mapungufu mno. Ukifata mtiririko wa uzao wa adamu utashangaa kusikia kuwa Ibrahim alihamia nchi nyingine ya Waarabu iitwayo Falastin! Huko alikutana na watu ambao kwa uhakika kabisa hawamo kwenye uzao wa Adamu! Tuambieni sasa; Adamu ni binadamu wa kwanza Duniani au ni wakwanza kwenye vitabu vyenu tu?
 
Kwani ni mwarabu? Huyo ni mfuasi wa watoto wa nje ya ndoa.
Kwenye maisha hamnaga mtoto wa nje ya ndoa. Ndo maana hata Yesu hatumuiti mtoto wa nje ya ndoa ingawa Biblia inamielewa wazi kuwa mimba yake siyo ya Mzee Yusufu. Lakini pia hata mbari aliyotoka kule Kwa Peresi; bwana Peresi alipatikana. nje ya nyumbani wakati Mzee Yuda amepandwa na nyege akiwa kwenye kazi ya kukata manyoa kondoo zake. Lakini pia habari za kuzaliwa Kwa Sulemani, Daudi alipandwa na Mwashawasha akambaka mke wa Uria, Kamanda wake wa Jeshi. Lakipi pia habari za Mzee Yese na kuolewa kwa Naomi ni full mushkel.

Hivyo, Kwa ufupi hamnaga mtoto wa nje ya ndoa wala ndani ya ndoa. Watoto wote ni baraka za Mungu na njia kuendelea uumbaji wa Mungu.
 
mimba ilikua ya nani we mtoto wa nje ya ndoa
 
Hata kaini alimwambia mungu amuweke alama ili atakapopita watu wasumdhuru tafakari ni

Kina nani?
 
Hahahahaha daah mmeshakuwa wendawazimu kwa kuendekeza dini za majahazi. Kwamba Ibu usiyemfahamu wala kuwa na undugu naye ni kipenzi cha Mungu ila Baba na Mababu zako siyo vipenzi wa Mungu!? Tokeni kwenye vifungo vua kiroho enyi watu weusi mliokosa akili.
 
Kwahiyo wale Wayahudi mnaowapiga vita kwenye misikiti mnaosema waliwatesa waislam tangu enzi hizo waliwasumbua wakiwa wapi!? Kwamba mtu kurudi kwenye asili yake ni mvamizi? Qurani yenu inawatambua na kutambua ardhi yao ya asili ila nyie vichwa ngumu weusi mnapinga!
 
Nabii wa Allah Ibrahim (Amani iwe juu yake) hakuwahi kuwa mzinifu. Alikuwa mbali na uchafu wa zinaa. Alikuwa ni Mtume wa Allah na ni katika Mitume watano bora zaidi. Amani iwe juu yake yeye na manabii wote wa Allah
Alikuwa mtume wa Mungu, (Yahwe) huyo Allah mtume wake ni Mohammed
 
Na nyinyi mnao sema mtaenda kuimba mabapimbio mbinguni ni kwamba mbinguni ni ukumbi wa disco au?
Nyie mtaoenda kunywa pombe na kutiana je mbinguni ni guest au bar?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…