Ndo nakushangaa wewe serikali iache kufanya mambo yake ikuwekee wewe usalama wa taifa wakuwinde hizi ni zaidi ya stress labda uliiba bwana wa mtu dada akeNani anahitaji ustar wakati nina elimu sweetheart ?
Kujulikana Tanzania ina faida gani ?
Who sent you?Wakuu nimekaa kimya ila naona too much, muacheni huyo kijana aishi maisha yake, kama wazazi wetu hawakujipanga kuandaa maisha Bora bahati ya mwenzio msiilalie mlango wazi.
Juzi kati akiwa anajianda kusafiri, airport alishtuka watu wakimrekodi ikabidi ahamie upande wa pili ili kulikwepa gari lake la kifahari analomiliki, chanzo Mange Kimambi insta page. Wakuu heshimuni watu bhana mama yake yuko kwenye nyadhifa mbalimbali serikalini toka zamani, anaweza kuwa ana biashara zake zinazomuingizia PESA hivo ni haki yake kuishi anavyotaka sio nyie mnavyotaka mnakera kumfuatilia mtu kiasi hicho, hata wewe unaesoma hapa ukipata madaraka lazima familia yako iishi vizuri wakuu tusidanganyane, dunia ya Leo watoto wote wa marais wanaishi poa wengi wanasoma na kuishi mambele.
Mtu kuumia kisa Fulani ANAISHI vizuri nimeshtuka hivi bado mjini kuna watu wana fikra za hivi si punde mtaloga sasa wakuu tuheshimu falagha za watu inakera.
Mchezaji wa zamani wa Yanga anachoma mishikaki Buguruni watu walianza kumsema vibaya eti hakujipanga, watu wanajipanga kuandaa maisha yao ya kesho mnaaanza maneno tena binafsi sipendezwi na hili,
Nimewakumbuka jirani zetu walio kuwa wanaumia eti kwanini sisi wazazi wetu wametupereka tukasome private schools wakati wao watoto wao wako shule za kata na juzi humu kuna jamaa kaleta Uzi humu hajaridhika kahamia inst mara Facebook eti wazazi wanapoteza hela kupeleka watoto private school sijui, eti ana wahurumia. JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala off, unapangaje matumizi kwenye hela ya mwanaume mwenzako, ili iwe nini, ukiona private school haina maana peleka mwanao serikali punguza kihelele watu wanasaka PESA kwa ajili ya familia zao we unaleta mdomo kisa umaskini umekupiga knock out na hat trick juu, wacha watu watumie PESA wanazotafuta wao hio ni jasho lao na familia zao
Fullstop, kwishaaaaaaa
Mnanicheka na nani sasa? Au mnacheka pekee enu,? Wapelekee taarifa wambie bro alex ni mtambo wenye MASHINE ya kusaga na kukoboa, sinaga kuonjesha ukijaaa unajazwa
Fullstop, kwishaaa
Unazungimzia zama ambazo hata smart phone haikuwepo mkuu alafu Yule ni Nyerere mkuu huyu ni mwingine acha pangia watu maisha. Maskini bhana kila kitu hasiraa tuKwani nyerere aliwezaje kuitenga familia yake na Uraisi wake?
Sasa unaomba msamaha au unaendeleza vita?Ndo nani kwa mfano hata nyanjilinji tu hapo hujulikani hapa Tanzania unalazimisha tu ustar dada ake
Fullstop, kwishaaa
Ndo nakushangaa wewe serikali iache kufanya mambo yake ikuwekee wewe usalama wa taifa wakuwinde hizi ni zaidi ya stress labda uliiba bwana wa mtu dada ake
Fullstop, kwishaaaa
Mkuu mbona anani kosea heshima nmeomba msamaha kwako si KWAKE mana anani tusi mi nifanyeje eti natumwa na ccm. Huo si uchokozi mkuuSasa unaomba msamaha au unaendeleza vita?
Mbona hata wewe mwenyewe hujielewi?
Masaki kuna maji siku hizi?
Ahaaaa kumbe we ni mtoto wa primary sio basi Sito kujibi TenaLOLOLOLOL kwa hiyo mtoto wa primary aliiba bwana wa mtu ? Every comment of yours continuously makes less sense.
Mimi ni nani ? Sisi ni nani ? Kauliza maboss wako.
Yani we kijana ungejua ulivyonifurahisha leo -- huko Masaki itabidi mkalishwe mkutano -- mfundishwe Online Etiquette 101 ilimuache kuabisha chama.
Sasa kama sina adabu unanichokonoa ili iwe nini?
Fullstop, kwishaaaa
Hata wewe UMEWAFATILIA watu wanaofatilia watu. Waache watu wafuatilie watu wanaofatilia watu, wewe vipi??????Wakuu nimekaa kimya ila naona too much, muacheni huyo kijana aishi maisha yake, kama wazazi wetu hawakujipanga kuandaa maisha Bora bahati ya mwenzio msiilalie mlango wazi.
Juzi kati akiwa anajianda kusafiri, airport alishtuka watu wakimrekodi ikabidi ahamie upande wa pili ili kulikwepa gari lake la kifahari analomiliki, chanzo Mange Kimambi insta page. Wakuu heshimuni watu bhana mama yake yuko kwenye nyadhifa mbalimbali serikalini toka zamani, anaweza kuwa ana biashara zake zinazomuingizia PESA hivo ni haki yake kuishi anavyotaka sio nyie mnavyotaka mnakera kumfuatilia mtu kiasi hicho, hata wewe unaesoma hapa ukipata madaraka lazima familia yako iishi vizuri wakuu tusidanganyane, dunia ya Leo watoto wote wa marais wanaishi poa wengi wanasoma na kuishi mambele.
Mtu kuumia kisa Fulani ANAISHI vizuri nimeshtuka hivi bado mjini kuna watu wana fikra za hivi si punde mtaloga sasa wakuu tuheshimu falagha za watu inakera.
Mchezaji wa zamani wa Yanga anachoma mishikaki Buguruni watu walianza kumsema vibaya eti hakujipanga, watu wanajipanga kuandaa maisha yao ya kesho mnaaanza maneno tena binafsi sipendezwi na hili,
Nimewakumbuka jirani zetu walio kuwa wanaumia eti kwanini sisi wazazi wetu wametupereka tukasome private schools wakati wao watoto wao wako shule za kata na juzi humu kuna jamaa kaleta Uzi humu hajaridhika kahamia inst mara Facebook eti wazazi wanapoteza hela kupeleka watoto private school sijui, eti ana wahurumia. JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala off, unapangaje matumizi kwenye hela ya mwanaume mwenzako, ili iwe nini, ukiona private school haina maana peleka mwanao serikali punguza kihelele watu wanasaka PESA kwa ajili ya familia zao we unaleta mdomo kisa umaskini umekupiga knock out na hat trick juu, wacha watu watumie PESA wanazotafuta wao hio ni jasho lao na familia zao
Fullstop, kwishaaaaaaa
Ndio nyie vijana wa Masaki? Kazi mnayo. Sasa anawalipa kiasi gani? Nyie anawalipa hela mbuzi halafu mwenzenu anakwapua billions of money! Na mtawezaje kupambana na watu wengi hivi mitandao yote? Wanaume wazima hovyo!Hata Mo Dewji hua wanamsema kua ni mali za urithi,
Badala watumie muda wao kusaka hela ili na wao watoto wao waje kurithi mali zao kama Mo alivyorithi kutoka kwa wazazi wake,wao wako busy kusema wengine!
Masikini wengi hutaka watu wote waishi kama wanavyoishi wao,ukiwa na uwezo tu,utapewa tuhuma zote,
Ila kama hiyo ndio njia yao ya kujifariji kwao,basi waachwe tu wafarijike,ila muda hua haurudi nyuma.
Toa UTI yako kafie mbele ukoNdio nyie vijana wa Masaki? Kazi mnayo. Sasa anawalipa kiasi gani? Nyie anawalipa hela mbuzi halafu mwenzenu anakwapua billions of money! Na mtawezaje kupambana na watu wengi hivi mitandao yote? Wanaume wazima hovyo!
We jamaa🤣Sawa waishi watakavyo lakini wasiue watu. Inakera sana, kuiba muibe na bado muue watu binadam wa aina gani nyinyi?
Acha kukariri maisha wewe punguani,JamiiForums ni International forums,Ndio nyie vijana wa Masaki? Kazi mnayo. Sasa anawalipa kiasi gani? Nyie anawalipa hela mbuzi halafu mwenzenu anakwapua billions of money! Na mtawezaje kupambana na watu wengi hivi mitandao yote? Wanaume wazima hovyo!