Mtoto wa Rais Samia, Wanu Hafidh Ashinda Tuzo ya Mwanamke Mahiri Zanzibar

Nilileta thread hapa mpige kura,mods sijui waliitoa,Ila kura zimepigwa na ameshinda🙏hongera Wanu.
 
Ushindi wake unatokana na mzazi wake kwa sababu huko nyuma hakusikika. Hata kaka yake ana jina kubwa serikalini ingawa hana cheo kinachofahamika
Wanawatumia watoto wao kuanzisha NGOs kama uchochoro wa kupitishia mali wanazoibia nchi wakiwa madarakani!! Kikwete nae alimuanzishia Mkwewe NGO ikiitwa WAMA ambayo aliitumia kwenda kuomba misaada kwa matajiri kama wakina Bill Gates wakati mumewe akiwa Rais!! Toka amestaafu mumewe umeisikia WAMA tena?
 
Hunter Biden
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…