Lavan Island
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 2,377
- 2,048
Sii ndio raha ya kuwa billionea....unawasaidia wototo wako wasiingie kwenye uzinzi maana uhakika wa maisha upo.Ushasikia dogo ni mtoto wa Billionaire huko New York.
Ushasikia dogo ni mtoto wa Billionaire huko New York.
Sasa kwani wee hutaki dada yako akapigwe dyu dyu? Sasa sii bora kaolewa anapigwa dyu dyu kihalali au wee unataka njemba ziwe zinampiga dyu dyu na kusepaHivi akisha muoa anaenda kumfanya nini??Nakumbuka siku sister angu anaolewa eti namimi nikasimama kujitambulisha kama kaka wa bibi arusi yani kufurahia dada anaenda kupigwa dudu aisee najiona fala mpaka leo.
Huku kwetu ubilionea ni ndoto kwa wazaziSii ndio raha ya kuwa billionea....unawasaidia wototo wako wasiingie kwenye uzinzi maana uhakika wa maisha upo.
Sio mizazi yetu mijinga ana mali alafu anakwambia katafute zako🤣🤣🤣🤣
Ukiona maji hayafuati mkondo…basi hayo ni mafuriko!Pesa imeenda kwenye pesa
NA KUOA MIAKA HIYO UNAPATA YULE ALIYETUMIKA KWELI KWELI,Haya ndio mambo sasa..miaka 23 unavuta mke...sio mtu miaka 30 bado huna mke
Hapo ukipata yule ambaye breki ya kwanza mbupu unashukuru maana wengi wao ni mpaka mbupu zenyewe zinamezwa na marinda hamnaNA KUOA MIAKA HIYO UNAPATA YULE ALIYETUMIKA KWELI KWELI,
Duh sio mchezo.Hahaha we unamuonaje huyo Rotim? Anamuharibu tu mrembo wetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]Hapo ukipata yule ambaye breki ya kwanza mbupu unashukuru maana wengi wao ni mpaka mbupu zenyewe zinamezwa na marinda hamna
Sawa mkuu,Mbona nipo huku mkuu....karibu sana
Sawa mkuu pole.....kwahiyo unameza njugu?Kuna mambo ya kunogesha kkjiwe bwana lakini sio ngoma.
Hivi feyzal ile dispensary yako bado inarun? Au umefunga?Duh sio mchezo.
Sasa mrembo haya maswa ya jela mie najibuje...nachojua mie njungu nakunywa na kugegeda na gegeda bila ndom....misambwanda ilivyojaa humu duniani hapana siwezi acha kuigegegda.Sawa mkuu pole.....kwahiyo unameza njugu?
Eti ni kweli ukiwa unafata masharti ya vidonge kuambukiza ni ngumu??
Ndo nilitaka kujua....sasa mbona unasambaza mkuu?[emoji848][emoji848][emoji849]Sasa mrembo haya maswa ya jela mie najibuje...nachojua mie njungu nakunywa na kugegeda na gegeda bila ndom....misambwanda ilivyojaa humu duniani hapana siwezi acha kuigegegda.
Jamani sii tamaa zao hao warembo wangetulia wasinge upata. Ata mie ningewasikiliza wazazi nisinge upataNdo nilitaka kujua....sasa mbona unasambaza mkuu?[emoji848][emoji848][emoji849]
Sina dispensary mkuu ni kimaabara..dispensary nilikua nimeajiriwa japo now sipo Kuna kozi nachukua nimeshindwa kujigawa ndo maana now nimepotea Sana humu.Hivi feyzal ile dispensary yako bado inarun? Au umefunga?
Leta ushahidYeah mi naona wazungu karibu wote inakula mfereji