TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
Au sio mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]Usitake kuishi kimaskini ili hali uchumi unaruhusu, duniani tunapita, tuishi kulingana na kipato tusijibane bane.
NAKED TRUTH kama zipo why uzubaniebanie?Usitake kuishi kimaskini ili hali uchumi unaruhusu, duniani tunapita, tuishi kulingana na kipato tusijibane bane.
Mtengezee mtoto utajiri, ila kama tu nguo na viatu anatapanya, je ataweza kutunza pesa?Usitake kuishi kimaskini ili hali uchumi unaruhusu, duniani tunapita, tuishi kulingana na kipato tusijibane bane.
Mawazo ya kimaskini hayaNAKED TRUTH kama zipo why uzubaniebanie?
Hili nalo nenoMtengezee mtoto utajiri, ila kama tu nguo na viatu anatapanya, je ataweza kutunza pesa?
Lakini usitupe kile ambacho mwingine aweza kukitumia.Kila mtu huishi Kwa urefu wa kamba yake.Tunaoshona tuendelee kushona Kwa kweli
Nimekuelewa vizuri tunatakiwa kuwafundisha watoto namna ya kuwa wazalendo na kuthamini mali zao binafsi au za familia ziwe ndogo au kubwa.Leo nimetembelea shule anayosoma mwanangu, ni sekondari ya bweni. Nilichogundua ni kwamba wazazi wengi majumbani mwetu hatuwafundishi watoto kuthamini kidogo walicho nacho.
Nimekuta watoto wanatupa viatu vizuri kabisa. Wametupa mashuka na yako kwenye hali nzuri sana, wametupa nguo zao
Uwezi wazuia mkuu,siye wenye maisha yetu ya kawaida twashona mpaka chupi na maisha yanaendelea 👊Lakini usitupe kile ambacho mwingine aweza kukitumia.
Unajibana alafu unasepa, watu wanachezea Mali zako na mkeo na mabinti zako.Usitake kuishi kimaskini ili hali uchumi unaruhusu, duniani tunapita, tuishi kulingana na kipato tusijibane bane.
Muongo wewe😁Uwezi wazuia mkuu,siye wenye maisha yetu ya kawaida twashona mpaka chupi na maisha yanaendelea 👊
Huwez amini Kwa sababu wewe hujawahi fanya mkuuMuongo wewe😁
Haswaaaah yaan.Kila mtu huishi Kwa urefu wa kamba yake.Tunaoshona tuendelee kushona Kwa kweli