cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Ndiyooooo,Uwezi wazuia mkuu,siye wenye maisha yetu ya kawaida twashona mpaka chupi na maisha yanaendelea [emoji109]
Ndiyooooo,Uwezi wazuia mkuu,siye wenye maisha yetu ya kawaida twashona mpaka chupi na maisha yanaendelea [emoji109]
Wenye bata wasizuiliwe....ni muda waoHaswaaaah yaan.
Kila mtu na maisha yake bhana,Wenye bata wasizuiliwe....ni muda wao
Tajiri anaona pesa hamtoshi na inatakiwa kutunzwa kwa nguvu zote, lakini fukara anafurahia kutapanya na si kukusanyaUsitake kuishi kimaskini ili hali uchumi unaruhusu, duniani tunapita, tuishi kulingana na kipato tusijibane bane.
Kutumia Hela Yako ni umaskini kiongozi? DuuMawazo ya kimaskini haya
Mkuu kuna kufa[emoji1]Mawazo ya kimaskini haya
Inaumiza sana ila ukweli ndo huo....Lazima utofauti wa mtoto wa mwigulu na wangu watofautiane maishaKila mtu na maisha yake bhana,
Hao wanatupa mashuka mazuri na nguo zao sababu maisha yao yanaruhusu hivyo, ili hali kuna wanafunzi wengine hawana hata cha kujifunika..
Hatufanani bhanaaa.
NAKED TRUTH kama zipo why uzubaniebanie?
NAKED TRUTH kama zipo why uzubaniebanie?
Zipo wapi? Watoto wanakipato chochote wabachoingiza? Tuna watoto wengi kutokuwa na uPEO WA MAISHA KWa sababu ya malezi. Wana miaka 30 na zaidi wanakaa kuvizia penshenj za wazazi. Hawezi kuweka hata genge limwinguzie hata shilingi mia ya kwake. WATOTO WANASIKITISHA. Sio rahisi kumhusisha mwanao ktk namna unavyopata kipato chako hasa ktk kazi ya kuajiriwa labda sana sana kwenye biashara kwa uchache.NAKED TRUTH kama zipo why uzubaniebanie?
Swadaktaaaa Madame. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inaumiza sana ila ukweli ndo huo....Lazima utofauti wa mtoto wa mwigulu na wangu watofautiane maisha
Zero IQ matajiri na wenywe ni majiriUsitake kuishi kimaskini ili hali uchumi unaruhusu, duniani tunapita, tuishi kulingana na kipato tusijibane bane.
@To yeye ninazawadi yako nxuri ukituma pichu iliyoshonwaUwezi wazuia mkuu,siye wenye maisha yetu ya kawaida twashona mpaka chupi na maisha yanaendelea [emoji109]
cocacola enjoySwadaktaaaa Madame. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
This 💯Lakini usitupe kile ambacho mwingine aweza kukitumia.
Truly said Bujibuji Simba NyamaumeWatoto wengine wazazi wao ni mafukara, wanatupa vitu kwa kufuata mkumbo, wakifika nyumbani wanazuga nimeibìwa.
Sawa,soon@To yeye ninazawadi yako nxuri ukituma pichu iliyoshonwa
Wakikua na kuanza kazi kama wataipata ndipo watakapojua kuwa kiatu ni kama ng'ombe huwa kinapona jeraha.Leo nimetembelea shule anayosoma mwanangu, ni sekondari ya bweni. Nilichogundua ni kwamba wazazi wengi majumbani mwetu hatuwafundishi watoto kuthamini kidogo walicho nacho.
Nimekuta watoto wanatupa viatu vizuri kabisa. Wametupa mashuka na yako kwenye hali nzuri sana, wametupa nguo zao mbalimbali.
Wazazi, hata kama unadhani unaweza kumtimizia mtoto wako mahitaji yake yote, ni vyema ukamfundisha kutunza mali zake mwenyewe.
Kiatu kikichanika kishonwe na sio kutupwa, nguo zikichafuka zifuliwe, zisitupwe.
Kuna wengi wanavitamanani vitu tunavyowanunulia watoto wetu, lakini hawajabahatika kuvipata.
waiting for itSawa,soon