Mtoto wako unamleaje? Nimesikitishwa sana na watoto wa shule hii

Wenye bata wasizuiliwe....ni muda wao
Kila mtu na maisha yake bhana,

Hao wanatupa mashuka mazuri na nguo zao sababu maisha yao yanaruhusu hivyo, ili hali kuna wanafunzi wengine hawana hata cha kujifunika..
Hatufanani bhanaaa.
 
Usitake kuishi kimaskini ili hali uchumi unaruhusu, duniani tunapita, tuishi kulingana na kipato tusijibane bane.
Tajiri anaona pesa hamtoshi na inatakiwa kutunzwa kwa nguvu zote, lakini fukara anafurahia kutapanya na si kukusanya
 
Kila mtu na maisha yake bhana,

Hao wanatupa mashuka mazuri na nguo zao sababu maisha yao yanaruhusu hivyo, ili hali kuna wanafunzi wengine hawana hata cha kujifunika..
Hatufanani bhanaaa.
Inaumiza sana ila ukweli ndo huo....Lazima utofauti wa mtoto wa mwigulu na wangu watofautiane maisha
 
Hakuna kiatu chochote quality kitachanika kirahisi...Mambo ya kushona viatu ni umaskini ....kuna mambo ya msingi ya kumfundisha mtoto achana na hayo ya kushona vitu vilivyo choka kama una uwezo lakini.
Lakini kama kweli ni vitu vizima wafundishwe kugawa hivyo vitu kwa wenzao wenye uhitaji na sio kutupa.
 
NAKED TRUTH kama zipo why uzubaniebanie?
NAKED TRUTH kama zipo why uzubaniebanie?
NAKED TRUTH kama zipo why uzubaniebanie?
Zipo wapi? Watoto wanakipato chochote wabachoingiza? Tuna watoto wengi kutokuwa na uPEO WA MAISHA KWa sababu ya malezi. Wana miaka 30 na zaidi wanakaa kuvizia penshenj za wazazi. Hawezi kuweka hata genge limwinguzie hata shilingi mia ya kwake. WATOTO WANASIKITISHA. Sio rahisi kumhusisha mwanao ktk namna unavyopata kipato chako hasa ktk kazi ya kuajiriwa labda sana sana kwenye biashara kwa uchache.
 
Wakikua na kuanza kazi kama wataipata ndipo watakapojua kuwa kiatu ni kama ng'ombe huwa kinapona jeraha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…