Mtoto wangu yupo kidato Cha 3 lakini hata dirishani hafiki; atarefuka kweli au ndo basi?

Acheni kujificha kwenye kichaka cha lishe watu tumekulia kijijini huko kwa viporo vya ugali hakuna cha uji wa lishe wala nini na tuko na futi sita zetu.
Mleta uzi kama wewe na mzazi mwenza ni mbegu fupi yaani "tt" huyo mtoto hata atundikiwe dripu za maziwa na kupewa special diet kamwe hawezi kuwa "TT" au "Tt".
 
Kwa navyojua 18-20 ndio mwisho wa kurefuka kwa hiyo anaweza kurefuka ama asirefuke. Cha msingi ni kumkubali na kumtengenezea mazingira ya kutokuwa mnyonge maana watu wafupi huwa bullied sana

Na usihofu huku ukubwani watu wanaishi bila shida
 
Dirisha linaanza kozi ya nne tu.....na kozi nne maana yake ni tofali nne. Pamoja na hayo lakini mwanangu huyu aliye kidato Cha tatu hawezi kufika. Ni mfupi kweli. Vipi jamani, atarefuka baadae?!!! Ana miaka 17.
Atarefuka tuuu, mpe muda
 
Wamakonde na ubishi ni kama mapacha πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwa urefu huo na miaka yake mmh hapo.shughuri ipo, wakina Emolo huwa wanashabihiana sura zao,kama naye ni hiyo sura hapo ndio mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…