Abby Uladu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 2,194
- 4,549
Acha dharau na dhihaka humu humjui mtu ID zisikufanganye pengine unaongea na Mama yako au hata Baba yako foolishWe mwenyewe umeingiliwa vichakani
Sababu ya pili, ni kilometer 17 tu, toka mjini kati, (Town center). Kadilio la dakika 43 tu kwa gari Chamanzi Kariakoo.Uwanja pekee sio kogezo cha kuwa mjo
Chamazi ni kijiji ina hadi mwenyekiti wa kijijiIla hao global TV mbona Wana dharau sana?yaani chamazi ni Kijiji?au Kuna Chamazi mbili hapa Dslam?
Kwa hilo neno mwenzaa, chamanzi siyo dar🤣🤣🤣Wewe huwa umenyooka kuliko rula
Dini Yao mahubiri Yao asilimia 90 ni ndoa na mahusiano. Viongozi wanaongea maneno makali na mazito ya kimahusiano kwenye ibada ambazo hazijatengwa kwa umri ili mafundisho yaendane na rika. Hivyo unakuta mtoto mdogo amejaza kwenye kichwa chake mambo yaliyomzidi umri na baadaye kuyazoea na kuamua kufanya practical. Acheni mahubiri ya mahusiano mbele ya watoto. Tenganisheni ibada za watoto na watu wazima na kama haiwezekani waondoeni watoto kwenye mawaidha . Sasa unakutana na kipoozeo ndiye anaendesha ibada na watoto wapo huko huko yeye si anatiririka tuu?Wanawaza ndoa za mapema
Kuna watoto, wazazi wao wako vizuri kiuchumi, ila watoto wana tabia mbaya.Huwezi kutengeneza bondi au kuangalia mtoto ikiwa hujajiimarisha kiuchumi... ndo maana nimemaanisha kuzaa hovyo bila kujipanga ndo matokeo hayo... We nikuulize tu au nikuambie fanya uchunguzi utagundua asilimia kubwa ya hao watoto wa kike wanapotea ghafla majumbani utagundua vishawishi hupelekewa na hali ya mazingira iliyowazunguka.
🤣🤣🤣🤣🤣Chamazi hii hii?Chamazi ni kijiji ina hadi mwenyekiti wa kijiji
Jamani Kwa Kijichi si ni Mbagala?Toangoma,Mikwambe na Vikunai?mbona Kuna marafiki zangu madon kabisa wanaishi huko?Sasa ni Jiji?washamba wa kusini wote wanaishi huko.kuna kiongozi gani umewahi kuskia anaishi hata Mbagala tu?
Hapana, Huyo mtoto kwani ana tabia mbaya??? Sababu za mtoto kutoweka nyumbani sio kwa kuwa ana tabia mbaya ila wakati mwingine hali ya nyumbani inaweza kumfanya mtoto akashindwa kuepuka vishawishi pindi akihisi kama kuna sehemu anaweza kupata maisha bora zaidi.Kuna watoto, wazazi wao wako vizuri kiuchumi, ila watoto wana tabia mbaya.
Tabia njema ni malezi, na uwe na bahati mtoto ayapokee, kuna watu wamesomesha watoto kwenye shule za pesa, lakini tabia za watoto hao, hazisimuliki.
Teh teh teh unaishi Chamazi ipi Dada,kwa Mzala,Magengeni,Kanisani,Mapunda au msufini?Ila hao global TV mbona Wana dharau sana?yaani chamazi ni Kijiji?au Kuna Chamazi mbili hapa Dslam?
Huyu kanishangaza eti malezi ni Uchumi mzuri,,Kuna watoto wa maskini wako vizuri sana Wana Upendo,na heshima.Kuna watoto, wazazi wao wako vizuri kiuchumi, ila watoto wana tabia mbaya.
Tabia njema ni malezi, na uwe na bahati mtoto ayapokee, kuna watu wamesomesha watoto kwenye shule za pesa, lakini tabia za watoto hao, hazisimuliki.
Naishi pembeni ya uwanja wa AzamTeh teh teh unaishi Chamazi ipi Dada,kwa Mzala,Magengeni,Kanisani,Mapunda au msufini?
Unamansha Mchupi aah salaleeNguo ya ndani ipo nje kwenye hii dunia
Ok,maybe.,ila siamini katika Uchumi mzuri ndio uwe na mtoto mwenye kujiheshimhHuwezi kutengeneza bondi au kuangalia mtoto ikiwa hujajiimarisha kiuchumi... ndo maana nimemaanisha kuzaa hovyo bila kujipanga ndo matokeo hayo... We nikuulize tu au nikuambie fanya uchunguzi utagundua asilimia kubwa ya hao watoto wa kike wanapotea ghafla majumbani utagundua vishawishi hupelekewa na hali ya mazingira iliyowazunguka.
Kuna mtu nimemjibu, kule juu, yeye anaamini malezi ya watoto ni pesa, na ameenda mbali, akaandika kuwa, kuzaa hovyo bila kujipanga, kiuchumi lazima kuwe na matokeo mabaya.Hapana, Huyo mtoto kwani ana tabia mbaya??? Sababu za mtoto kutoweka nyumbani sio kwa kuwa ana tabia mbaya ila wakati mwingine hali ya nyumbani inaweza kumfanya mtoto akashindwa kuepuka vishawishi wakati akihisi kama kuna sehemu anaweza kupata maisha bora zaidi.
OkNaishi pembeni ya uwanja wa Azam
Chamazi unafananisha na eneo gani hapa dsm?Ila hao global TV mbona Wana dharau sana?yaani chamazi ni Kijiji?au Kuna Chamazi mbili hapa Dslam?
Sidha kama Dar kuna maeneo yanafanana.Chamazi unafananisha na eneo gani hapa dsm?
Hajui alichokiandika.Huyu kanishangaza eti malezi ni Uchumi mzuri,,Kuna watoto wa maskini wako vizuri sana Wana Upendo,na heshima.
Sioni tofauti na BunjuChamazi unafananisha na eneo gani hapa dsm?