Mtu hatoki ndani asubuhi hadi jioni lakini analipa kodi na bills zote kwa wakati

Watu wanafanya kazi online na malipo anapokea kwa mobile money
 
Hii lifestyle nimeishi sana

Nilikuwa na bodaboda 17, kuku wa kufuga nilianza nao 300. Plus I also make money kwa kazi zangu ambazo nilizifanya five years ago online

People still talk about it. Wanahisi nina hela za majini hususani wakikumbuka nilivyokuwa nanunua maroba makubwa wakijua ya Michele kumbe pumba za kuku

Tengeneza maisha yako uwe unapiga hela usingizini.
 
Mimi mwenyewe mda mwingi nipo ndani mda wote jumatatu to jumapili saa 11 natoka naenda kwenye pooltable narudi saa 5 usiku.

Nakula hela ya mtaji niliopewa huku natafuta kazi, nikikosa ajira nitaanza kuuza odds za uhakika.
Nb.
Usisikilize wakamaria waliofeli tuulize sisi odds za uhakika tunazo.
 
Mimi pia natamani sana nirudi katika mishe za work from home. Sema majukumu ya familia kidogo yanabana. Work from home inafanywa na watu wenye akili zao, ila hawa wenye mawazo ya kibongobongo hawawezi elewa kama mleta mada.
 
Trading inalipa vibaya sana ukiijulia limekua shamba la vijana wa mjini sasa hivi watu wanahitaji internet na laptop au imac vijana wanapiga kazi Sasa hivi watu wanakaa geto tu
 
Pole ndugu kwa kuwa nyuma kiasi hiki dunia ya leo ipo kidigitali hivyo sio lazima mtu atoke aende kupatia riziki nje ya anapoishi, binafsi nimewahi fanya kazi miaka miwili nyumbani sikuwa natoka hata kila kitu namalizia online, na kama kuna vya kufuatilia physically ilikuwa natuma watu/mtu.
 
zinapatikana vp
 
Biashara zinafanyika online, personal nauza VFD, nafanya marketing online, nauza online nalipwa online, nawaunganisha wateja online nalipwa online nalipwa mawakala online, inshort silazimiki kutoka nyumbani
Nafanya kazi na watu ambao kwa kipindi cha mwaka mzima wanakuja ofisini mara moja/mbili sometime haji kabisa dunia imebadilika sana
 
Mpaka leo akili yako inajua kazini ni kwenda kubeba mizigo na (kwa waliopo Dar) ofisini ni lazima uende mjini/Posta!?
 
Ndio mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…