FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Watu wanafanya kazi online na malipo anapokea kwa mobile moneyNimewahi panga Nyumba fulani hivi kuna jamaa alikuwa anashinda chumbani asubuhi hadi jioni na anakula vzuri anapendeza na analipa bills zote bila usumbufu hadi majirani na wapangaji wenzie hususani wanawake walikuwa wakihisi labda anajihusisha na uuzaji madawa au ndo wale wa ile pesa tuma kwa namba hii..
Hii imekaaje wadau