Mtu hatoki ndani asubuhi hadi jioni lakini analipa kodi na bills zote kwa wakati

Mtu hatoki ndani asubuhi hadi jioni lakini analipa kodi na bills zote kwa wakati

Nimewahi panga Nyumba fulani hivi kuna jamaa alikuwa anashinda chumbani asubuhi hadi jioni na anakula vzuri anapendeza na analipa bills zote bila usumbufu hadi majirani na wapangaji wenzie hususani wanawake walikuwa wakihisi labda anajihusisha na uuzaji madawa au ndo wale wa ile pesa tuma kwa namba hii..
Hii imekaaje wadau

Nina kazi halali nafanya, naweza kaa ndani Miaka hata 20 bila kutoka zaidi ya Bank, weekend na shopping, maisha sio mapambano!
 
Nimewahi panga Nyumba fulani hivi kuna jamaa alikuwa anashinda chumbani asubuhi hadi jioni na anakula vzuri anapendeza na analipa bills zote bila usumbufu hadi majirani na wapangaji wenzie hususani wanawake walikuwa wakihisi labda anajihusisha na uuzaji madawa au ndo wale wa ile pesa tuma kwa namba hii..
Hii imekaaje wadau
Mjni hapa kama anashughuli anafanya online akiwa ndani?
 
Majiran lazima mnajuana ata kama n biashara ya mtandaoni au anafanya kaz nyumban lazima mngejua huyo atakuwa muuza madawa au jambaz
Ukijiunga bando, unaingia Tiktok, jamii forum, facebook, snapchat, whatsapp na huko telegram na whatsapp una magroup ya ngono na umbeya.
Mwaka mpaka mwaka unaisha hakuna la maana ulilojifunza na matokeo yake ndiyo kama haya.
Unakuwa na laptop yako na simu yako muda wote upo online unakusanya mpunga. Wambeya wanaanza kuulizana huyu jamaa anafanya kazi gani? Wao wameshazoea kuchuma kwa jasho na kuangalia umbeya mtandaoni.
Uza na wewe madawa ya kulevya kama unaona mshikaji anafaidi sana😁😁😁
 
Mkuu hata kusoma watu wanasoma online unakuta MTU anasoma hadi anafanakiwa kupata degree , masters kupitia online.

So mambo yanabadilika
Mtu anasomea online
Anafanyia mtihan online
Anapatia kazi online
Anafanyia hio kazi online
Analipwa online

Akitoka anaenda bank au bar tu kurefresh, kukimbizana na joto la dar na minuko ya kwenye daladala na mwendokasi ya nini sasa?
 
Ndo mabadiliko hayo mkuu Mimi mdogo angu huwa anakaa home anasoma kupitia Internet na sasa kapata one ya 4 PCB

Kapiga QT
Kaja form four now kamaliza six na anaenda kusoma open university so siku akiwa Ana -graduate watu watashangaa Sana na ana umri mdogo Sana .

Internet inabeba mambo yote muhimu
 
Link mkuu ni muhimu, mfano kazi za kwenye mashirika au taasisi tunapataje link zao.
Ingia Google - search Meta career au google careers-huko utapata kazi kama software engineering, machine learning, front end developers, bank end developers, cyber security, software testers… etc - kazi zote hazitaji kwenda of offisini. Waweza kuzifanya kutokea popote duniani bila kutoka humo ndani ya nyumba yako- ni wewe na computer yako tu…
Zipo Nyingine sana na research -what kinds of jobs could be done without going to physically going to the office . Utapata majibu mengi sana…
Nyingine zisome hapa :

With much thanks 🙏🙏🙏
 
This is richest spirit 🙏🏽

Vipi mkuu kwa sisi ambao tuna ujuzi wa kuandika na kufundisha kiswahili tunaweza kupata tonge ?
 
Hii lifestyle nimeishi sana

Nilikuwa na bodaboda 17, kuku wa kufuga nilianza nao 300. Plus I also make money kwa kazi zangu ambazo nilizifanya five years ago online

People still talk about it. Wanahisi nina hela za majini hususani wakikumbuka nilivyokuwa nanunua maroba makubwa wakijua ya Michele kumbe pumba za kuku

Tengeneza maisha yako uwe unapiga hela usingizini.
Unaishi ndoto zangu aisee🤔🤔
 
This is richest spirit 🙏🏽

Vipi mkuu kwa sisi ambao tuna ujuzi wa kuandika na kufundisha kiswahili tunaweza kupata tonge ?
Hiyo inawezeka sana tu… kazi yangu ni kutoa ushauri wa kisheria Kwa makampuni humu duniani kutegemea jurisdiction niliyo kuwa licenced ku practise na haijawahi kiwa Shida wfh. Naishi bongo na natoka tu ndani ninapotakiwa na hayo makampuni ku- appear in person kama kwenye boards meeting etc…
Tatizo vijana wetu hawajifunzi kusoma na namna bora ya kukabiriana na ulimwengu unaobadirika Kila siku- job of the future- tunakoelekea hizi manual labour karibua zote zifanywa na Robots zinatumia akili bandia , sisi bado mitaala yetu ni ile ya jongoo Ana miguu mingapi… tubadirike…
Mfano rahisi tu… Mtoto wangu wa mwisho 9 yrs Ana YouTube yake ambayo hutumia kuwafundisha watoto wenzake Yale yote aliyofundishwa darasani na ana follows kibao… Kwa kuwa account yake iko monetised, yube wanamlipa pesa ndefu Kwa kuwa tu ni content creator…
Siku hizi biashara ni kuuuza uzoefu wa kitu unachokifamu… mfano Una uzoefu wa welding - andika abc Zake uza
Una uzoefu wa kushinda kesi mahakamani- andika na uza
Una uzoefu wa kushinda kesi za takala- andika na uza
Inategemea maarifa yako, yako wapi- yaandikie abc zake huko Mtandaoni -wateja ni binadamu wote humu ulimwenguni wanaohitaji uzoefu huo na wataupata Kwa kuununua toka Kwako..
 
Nimewahi panga Nyumba fulani hivi kuna jamaa alikuwa anashinda chumbani asubuhi hadi jioni na anakula vzuri anapendeza na analipa bills zote bila usumbufu hadi majirani na wapangaji wenzie hususani wanawake walikuwa wakihisi labda anajihusisha na uuzaji madawa au ndo wale wa ile pesa tuma kwa namba hii..
Hii imekaaje wadau
Jibu sahihi ungelipata kwa kwenda kumuuliza muhusika yeye mwenyewe.
 
Huyo ana mtaji wa 50 000 tu na kila siku anabeti Odds mbili za uhakika! Kwa siku anaingiza 50,000 huku anakunywa juisi ya pasheni

Hakuna odds za uhakika wakuu! Tufanye kazi
Hahahahahaaaaa,umetisha
 
Back
Top Bottom