uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Nimewahi panga Nyumba fulani hivi kuna jamaa alikuwa anashinda chumbani asubuhi hadi jioni na anakula vzuri anapendeza na analipa bills zote bila usumbufu hadi majirani na wapangaji wenzie hususani wanawake walikuwa wakihisi labda anajihusisha na uuzaji madawa au ndo wale wa ile pesa tuma kwa namba hii..
Hii imekaaje wadau
Nina kazi halali nafanya, naweza kaa ndani Miaka hata 20 bila kutoka zaidi ya Bank, weekend na shopping, maisha sio mapambano!