Mtu hatoki ndani asubuhi hadi jioni lakini analipa kodi na bills zote kwa wakati

Kawaida kuna jamaa yangu yeye hupokea buku jero buku mbili kwa siku hapati chini ya 50k.Anatumia simu tu yaani
 
Alikuwa anapokea mgao wa kodi kutoka fremu za kupanga za urithi huko Kariakoo.
 
Nimeishi maisha ya hivyo huu ni mwaka wa 4 hadi nimekuja kupata ajira rasmi mwaka huu.
Wabongo wengi hasa uswahilini ni wajinga wengine hawana maarifa wanajua kazi lazima uhenyeke viwandani, vibarua vya ujenzi nakuuza mbogamboga.
Kuna fursa nyingi mtandaoni ni ujanja wako tuu.
Mtu unakuta ananunua bando badala kutafuta fursa za kipato na maarifa anamaliza bando lote ticktok na instagram
 
KWANINI USIMFWATE AKAKUFILA UKAACHA SHOBO KWA WANAUME WENZAKO
 
Watu wa forex hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…