Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu mna logical questions!!Huyo jamaa mlihamia hapo mnapokaa Kwa pamoja,au alikukuta wewe hapo au ulimkuta wewe?
Pia wewe unajuaje huwa anashinda tu nyumbani kama na wewe hushindi nyumbani?
Sio lazima mjuaneMajiran lazima mnajuana ata kama n biashara ya mtandaoni au anafanya kaz nyumban lazima mngejua huyo atakuwa muuza madawa au jambaz
Hii site ya wamarekani ina hela sana.ONLYFANS ndio wanajua
Usilolijua ni sawa na usiku wa gizaWewe andazi na wewe, kwenu alifikaje wakati unaambiwa alikuwa hatoki ndani tangu asubuhi!
Tafadhali 💡Tafadhari 😡Hajakuelewa rudia tena tafadhari!
Wabongo wamezoea kazi za jasho na ile sifa ya kuonekana unatoka asubuhi na kurudi usiku. Hata kama hurudi na kitu utaonekana bora kwao.
Wewe ndo one sigala mwariri mwandamizi kutoka baraza la taifa la kiswahili?Tafadhali 💡Tafadhari 😡
=MhaririWewe ndo one sigala mwariri mwandamizi kutoka baraza la taifa la kiswahili?
😁😁sawa=Mhariri
KWANINI USIMFWATE AKAKUFILA UKAACHA SHOBO KWA WANAUME WENZAKONimewahi panga Nyumba fulani hivi kuna jamaa alikuwa anashinda chumbani asubuhi hadi jioni na anakula vzuri anapendeza na analipa bills zote bila usumbufu hadi majirani na wapangaji wenzie hususani wanawake walikuwa wakihisi labda anajihusisha na uuzaji madawa au ndo wale wa ile pesa tuma kwa namba hii..
Hii imekaaje wadau
Watu wa forex hao.Nimewahi panga Nyumba fulani hivi kuna jamaa alikuwa anashinda chumbani asubuhi hadi jioni na anakula vzuri anapendeza na analipa bills zote bila usumbufu hadi majirani na wapangaji wenzie hususani wanawake walikuwa wakihisi labda anajihusisha na uuzaji madawa au ndo wale wa ile pesa tuma kwa namba hii..
Hii imekaaje wadau