Mtu kanitumia huu ujumbe; Unadhani mtu huyu kanywa pombe gani?

Hao tisa wanaofahamika...hahaaa bagoshaa
Sisi Kanda ya Ziwa tunapenda watoto. Mimi nimetekeleza wito wa rais wangu Rais Kusitisha Uzazi wa Mpango Kwa"Fyatueni Watoto wa Kutosha",Ni Yake au ni ya Wale Wazee wa..?!.

Sisi kwetu tumezaliwa 8, na mimi pia tulipofikisha 8, tukapanga itoshe!, kufumba na kufumbua, kukaibuka kangine, tena kamekuja na Changamoto za kupata mtoto mchanga ukiwa umri wa kustaafu, unakuwa ni Baba Babu. Dawa ni kujipanga kabla, vinginevyo ni kubebesha watu mizigo yako
P
 
Sisi Kanda ya Ziwa tunapenda watoto. Sisi kwetu tumezaliwa 8, na mimi pia tulipofikisha 8, tukapanga itoshe!, kufumba na kufumbua, kukaibuka kangine, tena ni ka mtihani
P
Mzee wangu marehemu ni chapa ng'ombe ila tulizaliwa watatu. Tunaonekana wachache sana
 
Sio pombe kama kuna pombe itakua ni mixer tu hiyo ni BANGI
 
Tyson
 
Watu wengi wanaotumiwa kufanya uhalifu ni mazuzu na hawana kitu kichwani ... mfano wake ni huyo aliyeandika hiyo message... ni wale wanaoandikagq xana badala ya sana.
 
Huyu mtu katuma msg tena.

Jamaa ni illiterate.

Msg anaandika without editing.

Mpaka sasa sijaona ushahidi kwamba anasema kitu chochote cha maana in a wider context. Naona kama ana complaints kuhusu matatizo yake ya binafsi ambapo labda ametapeliwa.

Hawezi kuandika. Labda nitachat naye later .
 
Hii ni bombshell.

Anasema Magufuli alikuwa Mbezi anafungua kituo cha daladala. Ameshika mike anaongea na wananchi. Anaongea akamaliza vizuri.

Akarudi ndani ya gari yake. Pale ndo akakutana na wapambe wake: mmoja kavaa suti nyeusi( presumably mlinzi), yule mwingine kavaa shati nyeupe. Anasema nikiwaona wale watu hata leo nitawatambua.

Wale wapambe wake wakamwambia: "Wewe mtu, siku nzima leo umekuwa unatutukana. Sasa tutakutenda jambo ambalo halijawahi kutokea."
Wakaondoka na Magufuli na saa sita usiku huo huo Magufuli akafa.
 
Penye miti hakuna wajenzi!, japo watoto wengi hupenda kufanya kazi za wazazi wao, kuna baadhi yetu ni different!.
Mimi mwenyewe nina watoto 9 na hakuna mwandishi habari wala mtangazaji!.
P
Watoto 9! Wewe jamaa una mgodi ? Mimi nina wanne tu kichwa kinazunguka kuwasomesha, anyway hongera kutii agizo la kuijaza dunia.
 
Anasema yeye alishangaa sana yule Ansar Sunna alipokuwa anatangaza kule Chato kwamba Magufuli alipungukiwa cd4. Anauliza,"Alipungukiwa cd4 vipi wakati mimi niliona yale mambo yaliyotokea Mbezi? Ndiyo maana,pale Chato,siku Ile ya mazishi,Samia na wale wengine walikuwa wanamzuia yule Ansar Sunna asiongee maneno yale." Kwa hiyo hapa inakuwa kama vile kile keep fo kinasababishwa na hostility ya Waislamu, lakini ingawa nilimfanyia cross- examination,nilishindwa kupata hiyo connection.
 
Zile hela ambazo anadai amedhulumu watu hajalipwa anamlaumu Magufuli: kwamba yeye alishiriki kuwadhulumu Asha Rose na wengine ili Magufuli apate Ile nomination. Yale yule mtu mambo yake yaliyovyoenda sawa,yule mtu hakumkumbuka. "Unajua,Msukuma akifanikiwa anasahau waliomsaidia"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…