ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Unataka watu waingilie uhuru wa mtu mwengine?MDA huu Niko kwenye kivuko, kuna mbaba WA makamo amejirusha kwenye kivuko cha busisi, yaani kivuko kimesimama dakika kadhaa halafu kikaendelea.
Bila msaada wowote, R.I.P jamaa
That's the irony of life, maisha lazima yaendeleeMDA huu Niko kwenye kivuko, kuna mbaba WA makamo amejirusha kwenye kivuko cha busisi, yaani kivuko kimesimama dakika kadhaa halafu kikaendelea.
Bila msaada wowote, R.I.P jamaa
wengine wagonjwa wa akiliUnataka watu waingilie uhuru wa mtu mwengine?
mwaaaaa mmmmwwwsaaaR.I.P in advance
Mlitoa taarifa kuwa kuna mtu amejirusha? Captain kasemaje?MDA huu Niko kwenye kivuko, kuna mbaba WA makamo amejirusha kwenye kivuko cha busisi, yaani kivuko kimesimama dakika kadhaa halafu kikaendelea.
Bila msaada wowote, R.I.P jamaa
Mbona kaeleweka alivyojibu?Hujaeleweka
Mzee Mimi nilikuwa nyuma kabisa nashangaa shangaa mandhari ya ziwani nimekuja kushtuliwa na mdogo wangu kwamba kuna tatizo, nilishtuka nikajua kivuko kinazama.Tukisema ni taifa lenye laana mtatushangaa
Yaani wameshindwa hata kumtupia lifebuoy jamaa
Laana za kutafuta tu hizi yaani mshkaji umeshindwa hata kuongea unafungua uzi sasa na picha lazima kapigwa tu maana ndio msaada wengi wanaouweza
Wahatarishe maisha yao kisa mjinga mmoja? Wacha samaki wamle ataelea baadaeKwa kawaida ingetakiwa aokolewe.
Hiyo ndio kazi ya mabaharia waliopo kivukoni
Duh! Wanaume tuna stress nyingi sanaMDA huu Niko kwenye kivuko, kuna mbaba WA makamo amejirusha kwenye kivuko cha busisi, yaani kivuko kimesimama dakika kadhaa halafu kikaendelea.
Bila msaada wowote, R.I.P jamaa
Kafue sasa maana hili povu huna haja ya Omo.Acha ushamba dogo, usilete upuuzi kwenye kila kitu. Kama ubongo wako umejaa mavi uwe unatulia
Hapo weakness ni waokoaji,huyo aliyejirusha ni kweli amejirusha lakini je wamechukua hatua gani kuhakikisha wanamuokoa,je kama ikitokea chombo kimezama wataweza kweli kuokoa watu, Afrika tabu sana.Ndio mana nlikuwa namcrush alosema shauri yake kajirusha mwenyewe,... Ameshindwa kuwaza ingetokea ajali wakatumbukia watu wanne labda wangeendelea au wangeokoa? Wako na weakness ya utayari wa kuokoa watu... We are doomed.
Mabaria wakamuokoe sehemu yenye mamba ausioKwa kawaida ingetakiwa aokolewe.
Hiyo ndio kazi ya mabaharia waliopo kivukoni
Sasa kama ana mental issue akijirusha si ndo kaondolea watu tatizo.Usijaj mkuu labda alikuwa na mental issues mkuu
mabaharia wamefail!MDA huu Niko kwenye kivuko, kuna mbaba WA makamo amejirusha kwenye kivuko cha busisi, yaani kivuko kimesimama dakika kadhaa halafu kikaendelea.
Bila msaada wowote, R.I.P jamaa
Kasimamisha kivuko, wafanyakazi wakashangaa shangaa then wakaondoa chombo..Mlitoa taarifa kuwa kuna mtu amejirusha? Captain kasemaje?