Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Aisee mto Zambezi mbona unakimbia sanaImenikumbusha kipindi flani navuka Zambezi River kutokea Botswana kuja Zambia kuna jamaa alijitosa pasi na sababu yoyote,mwamba mmoja akajitosa kumsaidia bahati yake aliokolewa ilikuwa shughuli pevu kuulizwa eti ana stress kali sana.
Kwa aliyewahi kupita Ile border ataelewa ni jinsi gani pale panatisha.
Nakumbuka nikiwa MVULANA, nilikua hodari sana kwenye kila task niliyopewa kuifanya...iwe ya kishule au ya kitaa.Maan hapo ni kupiga kelele kivuko kinasimama ukozi unafanyika..@Mzee kipusa kwann ulitaka kujiua.
Kama amejirusha mwenyewe, je angetaka kuokolewa ?Sio sababu,kuokolewa ni haki yake
Acha roho mbaya wewe mujwao. Tambua thamani ya UTUKama amejirusha mwenyewe, je angetaka kuokolewa ?
Man overboardMDA huu Niko kwenye kivuko, kuna mbaba WA makamo amejirusha kwenye kivuko cha busisi, yaani kivuko kimesimama dakika kadhaa halafu kikaendelea.
Bila msaada wowote, R.I.P jamaa
Watu wa ziwani kuogelea sio shida, labda alikumbuka Kuna issue ameisahau( may be simu)Mzee Mimi nilikuwa nyuma kabisa nashangaa shangaa mandhari ya ziwani nimekuja kushtuliwa na mdogo wangu kwamba kuna tatizo, nilishtuka nikajua kivuko kinazama.
Sikubahatika hata kumuona
Kifafa haruki anaangukia hapo alipoJe kama ana kifafa?
Una uhakika gani kama angelitumia hilo boya kama ni mtu aliyedhamiria kujimaliza??Tukisema ni taifa lenye laana mtatushangaa
Yaani wameshindwa hata kumtupia lifebuoy jamaa
Laana za kutafuta tu hizi yaani mshkaji umeshindwa hata kuongea unafungua uzi sasa na picha lazima kapigwa tu maana ndio msaada wengi wanaouweza
Zile engine huzunguka kwa kasi sana, na uwezekano wa kumkuta eneo lile lile ni ngumuPole yake masikini ila wanaibuka kwa kutapatapa na kivuko hakikimbii hivyo
Wangemuokoa mkuu ila ndio hivyo tena
Hatuwezi kujua yaliomsibu mpaka kafikia maamuzi hayo kwani binadamu tunatofautiana kwa kuyakabili madhila yoyote
Kama Baba yako ruka mfuate kumuokoaSo sad
Alipaswa aokolewe
Jaribu kuwaza huyo ni baba yako,
Pale Kigamboni watu wanavuka kwa kuogelea ka kawaidaKuna siku moja mida ya saa moja jioni nipo kwenye MV KIGAMBONI, kivuko kipo katikati tunasikia watu wanapiga kelele kwamba kuna mtu kadumbukia baharini, kila mtu akawa anaongea lake, wengine wakawa wanamwmbia nahodha asimamishe kivuko
Nifupishe story, kumbe jamaa aliekeana kidau nA mwenzake kwamba yeye anaweza kufika ng'ambo kabla ya pntoni na kweli tulimkuta
Nimekuelewa mkuuZile engine huzunguka kwa kasi sana, na uwezekano wa kumkuta eneo lile lile ni ngumu
Itakuwa ni utabiri tu na wote tunatabiriUna uhakika gani kama angelitumia hilo boya kama ni mtu aliyedhamiria kujimaliza??
Mfano mi sijui ogelea hivyo kiherehere cha kujirusha au kukimbilia panton huwa sina.Nimekuelewa mkuu
Sasa kam amejirusha mwenyewe ulitaka wampe msaada gani, angekua anatakamsaada asingejirushaMDA huu Niko kwenye kivuko, kuna mbaba WA makamo amejirusha kwenye kivuko cha busisi, yaani kivuko kimesimama dakika kadhaa halafu kikaendelea.
Bila msaada wowote, R.I.P jamaa
Mna uhakika ni mtu? Isijekuwa kiumbe kimeamua kurudi kwao, na hapo alipojirushia ndio kituoMDA huu Niko kwenye kivuko, kuna mbaba WA makamo amejirusha kwenye kivuko cha busisi, yaani kivuko kimesimama dakika kadhaa halafu kikaendelea.
Bila msaada wowote, R.I.P jamaa
🤣🤣🤣Jamani🙌Ni mwendo wa kujirusha rusha masela ruka haaaaaa kwa mizuka ingia kati serebukaaaa
Hatari sana yaaniKuna wengine,mapenzi tu inawafanya
Kutoa uhai
Ova
Unajuaje kuwa ni akili zake?Sasa mtu kajirusha kwa akili zake wajisumbue ili iweje?