Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Akili zero nilizoziongelea Sasa ukiwa na nguvu Moja wenzako wakiwa na kumi si wamekumalizaSimbaSC NguvuMoja.
NakaziaSimbaSC NguvuMoja.
Champion wa ligi ya mashamba ya mpungaNakazia
Upcoming Champion
Labda uwe chiziUnaweza kupata furaha kwenye umasikini pia.
Wewe ndio machizi nilioyaongelea hapo juuInawezekana we ndo unatakiwa upimwe Akili
Akili zero nilizoziongelea Sasa ukiwa na nguvu Moja wenzako wakiwa na kumi si wamekumaliza
Sishangai sababu we ni Moja ya machizi niliyoyaingelea hapoKwa sababu unatumia kijambi kama mbadala wa ubongo siwezi kukulaumu.
Vipi mkuu, Yanga imeanza kushinda mechi zake tena nini? Maana sijafuatili KitamboHuwa nashangaa sana unakuta watu mpaka wanapigana kisa simba na yanga aisee ukicheki maisha yamewachapa vibaya watanzania akili zero kabisa yaani timu zinacheza mpira kama wamasai wanavyorukaruka na hivyo viwanja wanavyochezea ni kama mashamba ya mpunga ni kichekesho sana kiufupi mtu anaehangaika mpira wa tanzania na kushangilia apimwe akili
Upo sahihi kabisa.Na,mimi nashauri usishabikie kabisa.Huwa nashangaa sana unakuta watu mpaka wanapigana kisa simba na yanga aisee ukicheki maisha yamewachapa vibaya watanzania akili zero kabisa yaani timu zinacheza mpira kama wamasai wanavyorukaruka na hivyo viwanja wanavyochezea ni kama mashamba ya mpunga ni kichekesho sana kiufupi mtu anaehangaika mpira wa tanzania na kushangilia apimwe akili
Siwezi Kaa nikaangalia uchafu huoVipi mkuu, Yanga imeanza kushinda mechi zake tena nini? Maana sijafuatili Kitambo
Hapa sio shuleUpo sahihi kabisa.Na,mimi nashauri usishabikie kabisa.
NB;Tuwe tunakumbuka kuandika kwa kufuata misingi bora ya uandishi.
Huwa nashangaa sana unakuta watu mpaka wanapigana kisa simba na yanga aisee ukicheki maisha yamewachapa vibaya watanzania akili zero kabisa yaani timu zinacheza mpira kama wamasai wanavyorukaruka na hivyo viwanja wanavyochezea ni kama mashamba ya mpunga ni kichekesho sana kiufupi mtu anaehangaika mpira wa tanzania na kushangilia apimwe akili
Wewe unaakili nyingi sanaMimi naweza kukuelewa. Wakati niko mtoto nilikuwa napenda sana mpira tena nakwenda kabisa uwanjani. Kama 1993 hivi nilienda uwanja wa taifa nikaangalia mechi mpira ukaisha. Vibaka wakapita wakapora watu, nika porwa saa na hela.
Hapo narudi Mwenge kutoka Taifa.
Baada ya hapo niakaanza kuangalia ligi ya uingereza kwenye TV. Kwa kweli nilihisi ule mpira wetu ni maigizo. Nikafikiria na maoteso ya kwenda uwanjani kuona hayo maigizo. Kwa akili za kawaida nikaona ni afhadali kulipia DSTV niangalie mpira wa maana kuliko kwenda kuona maigizo kwa mateso.
Nikawa member DSTV since 1993/4 mpaka leo. Simba na Yanga nasikiliza redioni tu.
Haa Haa MajarubaChampion wa ligi ya mashamba ya mpunga
Mpaka umuone mwalimu mkuu ameshika kiboko?Dunia ndiyo shule kuu.Hapa sio shule
Yaah labda wa majarubaHaa Haa Majaruba