Mtu mwenye akili timamu anawezaje kushabikia Simba na Yanga na ligi ya Tanzania?

Mtu mwenye akili timamu anawezaje kushabikia Simba na Yanga na ligi ya Tanzania?

Wahi Mirembe ukatibiwe au tafuta kazi ya kufanya ili uwe busy kidogo,
Huu uharo unaoujaza kila leo hapa JF hautokusaidia kitu.

Unamwaga nyuzi za kijinga mpaka unajisahau halafu unakuja kujiumbua wewe mwenyewe.
Unatatizo la afya ya akili
 
Akili ni nini na kwa mtizamo wa nani ? Wewe na wenzako mnaowaona wao wana matatizo ya akili wao wanawaonaje nyie ? Au watu kama wewe ndio wanamatatizo ya kushindwa kuchambua vitu ambavyo havihitaji processing power yoyote kuweza kudadavua...
Unatatizo la afya ya akili
 
Huwa nashangaa sana unakuta watu mpaka wanapigana kisa simba na yanga aisee ukicheki maisha yamewachapa vibaya watanzania akili zero kabisa yaani timu zinacheza mpira kama wamasai wanavyorukaruka na hivyo viwanja wanavyochezea ni kama mashamba ya mpunga ni kichekesho sana kiufupi mtu anaehangaika mpira wa tanzania na kushangilia apimwe akili
Binafsi nakuelewa sana. Kwa nchi yetu kuanzia serikali, na Taasis mbalimbali zinaendeshwa kihuni, hakuna weledi, ni siasa, udini na kujuana, uwezo hauzingatiwi kabisa hivyo haiwezekani kupiga hatua hata siku moja. Hakuna kiongozi mzalendo Wala mwenye nia njema na nchi ni mwendo wa ubinafsi na kuchota mali
 
Wewe unaakili nyingi sana
 
Unatatizo la afya ya akili
 
Huwa nashangaa sana unakuta watu mpaka wanapigana kisa simba na yanga aisee ukicheki maisha yamewachapa vibaya watanzania akili zero kabisa yaani timu zinacheza mpira kama wamasai wanavyorukaruka na hivyo viwanja wanavyochezea ni kama mashamba ya mpunga ni kichekesho sana kiufupi mtu anaehangaika mpira wa tanzania na kushangilia apimwe akili
Yanga bingwa
 
Maskini hawastahili furaha? Wafanye nini sasa? Kwenda Serena hotel hawawezi, kunywa beer hawawezi, kwenda vacation sijui serengeti, hawaii hawawezi, kununua vitu vya fahari n.k haiwezekani, Hata kusikiliza tu mpira wa Simba na Yanga kwenye redio ya mbao ishindikane? Mnataka wafanyaje sasa! By the way ni ushamba na ulimbukeni kuhusudu vya watu na kudharau vya nyumbani, mkataa kwao ni mtumwa, unajifanya shabiki kindaki wa Liverpool wakati mtaani kwako kuna Lipuli fc? By the way hata matajiri kama kina Dewji, GSM, viongozi wakubwa na watu mashuhuri wanafuatilia ligi ya tz, wewe Limbukeni usiye na chochote unajikuta Unaishi London 😀
 
Back
Top Bottom