Mtu mwenye akili timamu anawezaje kushabikia Simba na Yanga na ligi ya Tanzania?

Maskini hawastahili furaha? Wafanye nini sasa? Kwenda Serena hotel hawawezi, kunywa beer hawawezi, kwenda vacation sijui serengeti, hawaii hawawezi, kununua vitu vya fahari n.k haiwezekani, Hata kusikiliza tu mpira wa Simba na Yanga kwenye redio ya mbao ishindikane? Mnataka wafanyaje sasa! By the way ni ushamba na ulimbukeni kuhusudu vya watu na kudharau vya nyumbani, mkataa kwao ni mtumwa, unajifanya shabiki kindaki wa Liverpool wakati mtaani kwako kuna Lipuli fc? By the way hata matajiri kama kina Dewji, GSM, viongozi wakubwa na watu mashuhuri wanafuatilia ligi ya tz, wewe Limbukeni usiye na chochote unajikuta Unaishi London 😀
Chizi lingine hili nililolizungumzia yaani yapo kama mazombi🤣🤣🤣
 
Huwa nashangaa sana unakuta watu mpaka wanapigana kisa simba na yanga aisee ukicheki maisha yamewachapa vibaya watanzania akili zero kabisa yaani timu zinacheza mpira kama wamasai wanavyorukaruka na hivyo viwanja wanavyochezea ni kama mashamba ya mpunga ni kichekesho sana kiufupi mtu anaehangaika mpira wa tanzania na kushangilia apimwe akili Sababu nilijaribu kufuatila soka la Tanzania nikagundua kuanzia hizi timu mpaka viwanja ni takataka
Ngoja waje utakoma matusi
 
Mkuu, nadhani kuna kitu unakikosa katika maarifa ya kuujua mpira...Kuna kitu kinaitwa passion...watu wana passion na timu zao na wewe huwezi kubadilisha kitu kwenye passion zao...mpira ni maisha...hata huko ulaya pia , wapo watu wanaoshabikia hizo timu na wana maisha magumu hivo hivo ...
Binafsi me napenda soka lote kiujumla...Kwa nyumbani nashabikia timu yangu inayopanda daraja hivi karibuni TAIFA ILEMI...
 
Hizo za tanzania sio timu ni takataka
 
Huwa nashangaa sana unakuta watu mpaka wanapigana kisa simba na yanga aisee ukicheki maisha yamewachapa vibaya watanzania akili zero kabisa yaani timu zinacheza mpira kama wamasai wanavyorukaruka na hivyo viwanja wanavyochezea ni kama mashamba ya mpunga ni kichekesho sana kiufupi mtu anaehangaika mpira wa tanzania na kushangilia apimwe akili Sababu nilijaribu kufuatila soka la Tanzania nikagundua kuanzia hizi timu mpaka viwanja ni takataka
"Huwa nashangaa sana unakuta watu mpaka wanapigana kisa Simba"

Mkuu kama hoja yako ingaliishia kwa sentensi moja tu ambayo ina maneno kama vile ambavyo nimeyanukuu hapo juu, basi ingalikuwa na mashiko mno.
 
Ew
Huwa nashangaa sana unakuta watu mpaka wanapigana kisa simba na yanga aisee ukicheki maisha yamewachapa vibaya watanzania akili zero kabisa yaani timu zinacheza mpira kama wamasai wanavyorukaruka na hivyo viwanja wanavyochezea ni kama mashamba ya mpunga ni kichekesho sana kiufupi mtu anaehangaika mpira wa tanzania na kushangilia apimwe akili Sababu nilijaribu kufuatila soka la Tanzania nikagundua kuanzia hizi timu mpaka viwanja ni takatakaWw mkrnya mmeshndwa huko na vurugu za kwenu unataka kuja kuleta ukorofi huku?
 
Huwa nashangaa sana unakuta watu mpaka wanapigana kisa simba na yanga aisee ukicheki maisha yamewachapa vibaya watanzania akili zero kabisa yaani timu zinacheza mpira kama wamasai wanavyorukaruka na hivyo viwanja wanavyochezea ni kama mashamba ya mpunga ni kichekesho sana kiufupi mtu anaehangaika mpira wa tanzania na kushangilia apimwe akili Sababu nilijaribu kufuatila soka la Tanzania nikagundua kuanzia hizi timu mpaka viwanja ni takataka
Mtu mwenye akili hawezi kuandika uzi wa kijinga kama huu
 
Huwa nashangaa sana unakuta watu mpaka wanapigana kisa simba na yanga aisee ukicheki maisha yamewachapa vibaya watanzania akili zero kabisa yaani timu zinacheza mpira kama wamasai wanavyorukaruka na hivyo viwanja wanavyochezea ni kama mashamba ya mpunga ni kichekesho sana kiufupi mtu anaehangaika mpira wa tanzania na kushangilia apimwe akili Sababu nilijaribu kufuatila soka la Tanzania nikagundua kuanzia hizi timu mpaka viwanja ni takataka
Mimi kwa sasa kipimo changu cha marafiki- Successful Close people....naangalia kwanza kama wewe ni mpenzi wa Simba na Yanga moja kwa moja najua wewe ni Low Minded hata kama una PhD
 
Mimi naweza kukuelewa. Wakati niko mtoto nilikuwa napenda sana mpira tena nakwenda kabisa uwanjani. Kama 1993 hivi nilienda uwanja wa taifa nikaangalia mechi mpira ukaisha. Vibaka wakapita wakapora watu, nika porwa saa na hela.
Hapo narudi Mwenge kutoka Taifa.
Baada ya hapo niakaanza kuangalia ligi ya uingereza kwenye TV. Kwa kweli nilihisi ule mpira wetu ni maigizo. Nikafikiria na maoteso ya kwenda uwanjani kuona hayo maigizo. Kwa akili za kawaida nikaona ni afhadali kulipia DSTV niangalie mpira wa maana kuliko kwenda kuona maigizo kwa mateso.
Nikawa member DSTV since 1993/4 mpaka leo. Simba na Yanga nasikiliza redioni tu.

Ila nakiri kuna ahueni kidogo kwenye profesionalism level ya mpira wetu kwa sasa kuliko miaka kadhaa nyuma
Mimi simjui hata mchezaji mmoja nasikia Azizi Ki sijui kama anachezea yanga au Simba.

Sina muda mchafu mimi
 
Back
Top Bottom