Mtu mwenye akili timamu anawezaje kushabikia Simba na Yanga na ligi ya Tanzania?

Mtu mwenye akili timamu anawezaje kushabikia Simba na Yanga na ligi ya Tanzania?

Hakuna aliyewalazimisha kushabikia timu za nyumbani.......hivyo na nyie acheni wenzenu washabikie vya nyumbani kwa Uhuru.
Nilishasema kwamba ukishabikia simba na yanga lazima uwe chizi ivyo sikushangai
 
Hakuna aliyewalazimisha kushabikia timu za nyumbani.......hivyo na nyie acheni wenzenu washabikie vya nyumbani kwa Uhuru.
Sisi tunawashauri muache kutumika kwa mambo yasiyo na tija kwenye maisha yenu
 
..mnajiona wajanja kushabikia hata wasiowajua kama mpo.
Narudia tena hujitambui kichwani hamna kitu ni kawaida ya mashabiki wa hizo takataka zenye kucheza mpira kama wakulima
 
Soka la bongo tu kwa ujumla halina mvuto,wachezaji ni wachovu,marefa ni wachovu magoli ya ajabu ajabu Siyo simba siyo yanga,
Ila amna namna tunajichanganya na mashabiki ili wasituone kuwa tunajitenga
 
Back
Top Bottom