Mtu mwenye akili timamu anawezaje kushabikia Simba na Yanga na ligi ya Tanzania?

Chizi lingine hili nililolizungumzia yaani yapo kama mazombi🤣🤣🤣
 
Ngoja waje utakoma matusi
 
Mkuu, nadhani kuna kitu unakikosa katika maarifa ya kuujua mpira...Kuna kitu kinaitwa passion...watu wana passion na timu zao na wewe huwezi kubadilisha kitu kwenye passion zao...mpira ni maisha...hata huko ulaya pia , wapo watu wanaoshabikia hizo timu na wana maisha magumu hivo hivo ...
Binafsi me napenda soka lote kiujumla...Kwa nyumbani nashabikia timu yangu inayopanda daraja hivi karibuni TAIFA ILEMI...
 
Hizo za tanzania sio timu ni takataka
 
"Huwa nashangaa sana unakuta watu mpaka wanapigana kisa Simba"

Mkuu kama hoja yako ingaliishia kwa sentensi moja tu ambayo ina maneno kama vile ambavyo nimeyanukuu hapo juu, basi ingalikuwa na mashiko mno.
 
Ew
 
Mtu mwenye akili hawezi kuandika uzi wa kijinga kama huu
 
Mimi kwa sasa kipimo changu cha marafiki- Successful Close people....naangalia kwanza kama wewe ni mpenzi wa Simba na Yanga moja kwa moja najua wewe ni Low Minded hata kama una PhD
 
Mimi simjui hata mchezaji mmoja nasikia Azizi Ki sijui kama anachezea yanga au Simba.

Sina muda mchafu mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…