Za nyumbani au ujinga mtupu
Hakuna aliyewalazimisha kushabikia timu za nyumbani.......hivyo na nyie acheni wenzenu washabikie vya nyumbani kwa Uhuru.Kweli kabisa wale niliosema wenye matatizo ya akili mnaoendelea kujitokeza
Nilishasema kwamba ukishabikia simba na yanga lazima uwe chizi ivyo sikushangaiHakuna aliyewalazimisha kushabikia timu za nyumbani.......hivyo na nyie acheni wenzenu washabikie vya nyumbani kwa Uhuru.
Sahihi kabisaMimi simjui hata mchezaji mmoja nasikia Azizi Ki sijui kama anachezea yanga au Simba.
Sina muda mchafu mimi
Sisi tunawashauri muache kutumika kwa mambo yasiyo na tija kwenye maisha yenuHakuna aliyewalazimisha kushabikia timu za nyumbani.......hivyo na nyie acheni wenzenu washabikie vya nyumbani kwa Uhuru.
..mnajiona wajanja kushabikia hata wasiowajua kama mpo.Nilishasema kwamba ukishabikia simba na yanga lazima uwe chizi ivyo sikushangai
Nyie kushabikia timu za ulaya kuna tija gani kwenu ?Sisi tunawashauri muache kutumika kwa mambo yasiyo na tija kwenye maisha yenu
Narudia tena hujitambui kichwani hamna kitu ni kawaida ya mashabiki wa hizo takataka zenye kucheza mpira kama wakulima..mnajiona wajanja kushabikia hata wasiowajua kama mpo.
Wajinga ndio waliwao siku zoteNyie kushabikia timu za ulaya kuna tija gani kwenu ?