Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
- Thread starter
-
- #61
Ahaa haa. Hujui usimamie wapi.Nipo kwenye my 40s vijana wananiita Mzee wazee wananiita kijana
Hujazeeka.Dah kwahiyo sisi tuliozaliwa 1988 ndo tushazeeka eeh?
Sielewi mkuu, sina mvi kabisa ila nishazoea naitwa babuKwa nini, mvi ziliota mapema au kipara?
Niko confused wengine brother wengine MzeeAhaa haa. Hujui usimamie wapi.
Umeeleza vizuri kwa mfano hai.Hujazeeka.
Kama tukifananisha umri na siku @30 ni saa tano asubuhi, ndo muda kazi zimeshamiri. @ 40 ni saa sita kuelekea saa saba, mida ya lunch hii kuanza kufurahia pesa @ 50 ni saa tisa, hapa kama ulifanya kazi vizuri ukawa na pesa hurudi kazini, unafunga siku pesa zitakufanyia kazi @ 60 saa kumi na mbili giza linaingia ingia kama hukutengeneza fedha bado unapambana ila dah! @70 ni saa moja liwalo na liwe huna namna jua limeshazama, ulivyo ndo ulivyo labda itokee bahati @ 80 usiku ushafika ni either wewe ni mzigo kwa watu wako wa karibu au wanafurahia uwepo wako.
Tafuta ela mkuuSielewi mkuu, sina mvi kabisa ila nishazoea naitwa babu
Wewe bado kijana waache habari zao hao madogo.Niko confused wengine brother wengine Mzee
Dah, sawa mkuuTafuta ela mkuu
Wewe bado kijana waache habari zao hao madogo.
Kabisa mkuuNa cash ndio imeanza kuongezeka.
Kabeeeesa lo
mkuu nakubaliana tu na matokeo ntafanyajeWewe bado kijana waache habari zao hao madogo.
ni vizuri kuzingatia nguvu na uwezo wako katika mambo mbalimbali ndio kipimo kizuri zaidi kujijua kwamba wew ni kijana au Mzee πNi mara nyingi utasikia mtu mwenye zaidi ya miaka 35 anajiita kijana. Wengine wana miaka 45 na zaidi hasa wanasiasa lakini wana jiita vijana.
Mnaonaje hili wakuu ni kwamba Ujana una makundi tofauti au ni huwa tuna/wana jifariji tu kujiita vijana ilihali wakijua wazi kwamba umri tayari umesha watupa mkono.
Wasalam.
Boko kwenye ukocha ni kijana, ila kwenye uchezaji ni mzeeUnamzungumzia Mgunda au unamzungumzia BOKO?
Ooh so age is just a number. What matters ,is your physical and mental ability.ni vizuri kuzingatia nguvu na uwezo wako katika mambo mbalimbali ndio kipimo kizuri zaidi kujijua kwamba wew ni kijana au Mzee π
ukiona kuna mambo huwezi perform ipasavyo hata kama una miaka 35, that is the best signal kwamba wew ni Muzee π
na ukiwa na 75yrs of age na unaperfom issues mbalimbali kwa bidii bila kuchoka na matokeo yanainekana wazi,then wew ni kijana tu π
Ww una umri gani?Ni mara nyingi utasikia mtu mwenye zaidi ya miaka 35 anajiita kijana. Wengine wana miaka 45 na zaidi hasa wanasiasa lakini wana jiita vijana.
Mnaonaje hili wakuu ni kwamba Ujana una makundi tofauti au ni huwa tuna/wana jifariji tu kujiita vijana ilihali wakijua wazi kwamba umri tayari umesha watupa mkono.
Wasalam.
Mimi mzee kijana ahaa haa.Ww una umri gani?
Au unataka tukuite mtoto