Mtu Mwenye miaka 35 ni Kijana?

We bado maskini sana bro, kama bado unapambana kuhusu umri,
We jiulize una pesa?
Ruto,David Cameron, Emmanuel macron, Lisu, Zito, hawa ni above 40,lakini kuna muktadha wanaonekana vijana,
Huu ni muktadha wa fedha, karne hii bro ujana kama ujana tu wa umri bila kitu kingine, hauna maaana, una kuwa kijana sawa bado mbichi,20yrs +, lakini Huna elimu, pesa, mawazo ya makuu,
 
Kwa kipimo cha umri ni kijana, akifika 40 ndiyoa anaamza kuitwa mtu wa Makamu/Makamo akisubiria 50 ili awe official mzee.
Ingawa kwenye katiba ya vyama vingi vya vijana, ukomo wa umri wa kijana ni 34, kama ni kwenye Kanisa Katoliki unatakiwa utoke VIWAWA na uende kujiunga na UWAKA au WAWATA.
I stand to be corrected.
 
Sawa sawa kiongozi. Ni kweli bado wana ujana fulani.
 
Sawa sawa ila naona hili nalo liangaliwe umri wa ujana uelezwe vizuru na uwe uniform ili kuondoa mikanganyiko.
 
Huo ndio umri unaoukaribia, usiulize wenzako wamefikaje huko, kama hujafika jiulize nitafikaje huko.
 
Ujana bila pesa au mafanikio flani ni uzee

Mcheki lady jaydee ana miaka above 50 ila ukimsimamisha na mabinti wengi Tz ataonekana mdogo

Pesa inatakatisha Wakuu

Tuendelee kupambana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…