Mtu Mwenye miaka 35 ni Kijana?

Mtu Mwenye miaka 35 ni Kijana?

Ni mara nyingi utasikia mtu mwenye zaidi ya miaka 35 anajiita kijana. Wengine wana miaka 45 na zaidi hasa wanasiasa lakini wana jiita vijana.

Mnaonaje hili wakuu ni kwamba Ujana una makundi tofauti au ni huwa tuna/wana jifariji tu kujiita vijana ilihali wakijua wazi kwamba umri tayari umesha watupa mkono.

Wasalam.
Unaowaita ni wazee kumbuka hao ni vijana ila ni vijana wa zamani.
 
Back
Top Bottom