Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Maua Rose, bila kujali jinsia, huyo hatokusahau.Habari zenu wakuu.
Tufanye una ndugu au jamaa yako aliyekupita mbali kifedha, unaweza kumbebea zawadi gani ili usiende mikono mitupu? Ile imetokea tu unataka kwenda kumtembelea sio kwamba ni mgonjwa au ana changamoto yoyote.
Panuaa miguu wape, waambie umetoa kwa pet96Niazime basi utupu wako nikawape
Hawa wanajua kubeba charger na kuulizia password ya wifi tu
Niliwaza tu my wangu usije ukapeleka vitu vikawekwa hukoo visionekane😀😀😁😁 Hawajafikia huko
Hahaha!Hawa wanajua kubeba charger na kuulizia password ya wifi tu