Uchaguzi 2020 Mtu timamu hawezi kushangilia matokeo haya

Usinitafutie ban wewe. Nilikueleza vipi? Moshi mjini Mmeng'oka pia. Wapi Sugu wako?
 
Ccm wametia aibu Sana huu UCHAFUZI.
Tangu vyama vingi vuanze mbinu zao NI zile zile.
HADI KWA MAGUFULI IIII?.
Mtu ambae wanaamini anakubalika lakini bado wanaiba kuraa?
CCM wanataka kufuta vyama vingi Nchi isalie na chama kimoja tu ipitishwe katiba awe Rais wa milele kama China
 
Siku zote masikini na wajinga hawajitambuwi
 
Upinzani hawakuwa serious Sana Kama alivyo Lissu kwenye kudai katiba mpya na Tume huru.Lissu alivyopigwa Risasi Upinzani ukaishia pale,hata hizi kura chache ambazo Upinzani wamepata Ni baada ya Lissu kurejea
Hmm hii siyo sahihi bali ni bora huu ubabe uluotumika kuyahalalisha haya basi Ungetumika kuzuia tusiingie kwenye uchaguzi na tungekuwa tumeokoa fedha nyingi sana zilizopotezwa kwenye igizo hili... Na mwisho tungetumia hizo fedha kuendelea na ujenzi wa taifa letu walah...
 
Usinitafutie ban wewe. Nilikueleza vipi? Moshi mjini Mmeng'oka pia. Wapi Sugu wako?
We mjinga kweli nadhani unaongoza kwa ujinga unatisha watu wenye akili zao wenyewe ngese kweli mtu mjinga siku zote hatumii akili hutumia vitisho
 
Unataka upinzani Tanzania ufanye nini ili kuzuia huo udanganyifu wa ccm na NEC?.
Ikiwa mahakama ipo chini ya ccm.jwtz ,polisi,magereza wote wapo CCM.
Ebu SHAURI upinzani wafanye nini?.
Wapi waende kudai haki zao?
Wizi ambao ni wa style ileile upinzani unaoulalamikia na hawana mikakati yoyote kuizuia.
 
We mjinga kweli nadhani unaongoza kwa ujinga unatisha watu wenye akili zao wenyewe ngese kweli mtu mjinga siku zote hatumii akili hutumia vitisho
Aitaki kujadiliana na mpuuzi wewe. Ukikua utajua
 
Tunafanya pate leo kama hushangilii ni wewe
 
Huna hujuwalo zaidi ya kuendeshwa na mfumo wa wizi
Mwisho wa Lissu wako, wenye akili tulijua anakuja kuwaua chadema. Huwezi kumshinda rais aliye madarakani kwa kumtukana. Nilijaribu kuwahusia nyie vibaraka wa Chadema hamkunisikiliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…