fundi25
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 10,378
- 11,537
Wote wanao shangilia ni maiti zinazo tembeaKama kuna mtu atasema huu ulikua uchaguzi ! Haihitaji kujua ukichaa wake uko hatua ipi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote wanao shangilia ni maiti zinazo tembeaKama kuna mtu atasema huu ulikua uchaguzi ! Haihitaji kujua ukichaa wake uko hatua ipi
Usinitafutie ban wewe. Nilikueleza vipi? Moshi mjini Mmeng'oka pia. Wapi Sugu wako?Kituo chenye wapiga kura 125,239 (registered voters) msimamizi anatangaza wamepiga kura 437,980, hata wizi hauko hivyo.
Uchaguzi ambao karibu nusu ya wagombea ubunge nchi nzima aidha wamekamatwa, wanashikiliwa na polisi au kujeruhiwa kwa silaha, utashangiliaje matokeo haya.
Matokeo ya uchaguzi ambao karatasi za kura feki zimezagaa mitaani nchi nzima.
Uchaguzi ambao wakati wa kuhesabu kura polisi wanaingia vituoni wanawatoa mawakala wote wa vyama vingine anabaki wakala wa CCM na msimamizi wa kituo wakihesabu peke yao.
Uchaguzi ambao OCD anaingia kituo cha kupigia kura anakwapua ballot box na kuondoka nalo.
Uchaguzi ambao matokeo yanaonyesha wagombea wote wa ubunge toka CCM wameshinda.
Hata mwana CCM mwenye akili timamu hawezi kushangilia matokeo ya uchaguzi kama huu unaokwenda kuligawa taifa.
CCM wanataka kufuta vyama vingi Nchi isalie na chama kimoja tu ipitishwe katiba awe Rais wa milele kama China
Acha ujingaWote wanao shangilia ni maiti zinazo tembea
Rais wako jiwe alikua anasema anashindwa leta maendelea kwasababu anachanganyiwa magunzi, now wote ni ccm, tunataka kuiona Tz kama Ulaya, sawa dogo?Lakini mlisema mnaenda the Hague
Wezi wasio kuwa na akili ya hesabu wataishia pabaya siku sio nyingi watafika wanako taka kwendaCheck hai hata Kama mbowe akubaliki kule si kwa gap lile
Wilaya ya hai nivituko saa sita mchana karatasi zakupigia kura zimeisha watu kwa maelfu hawajapiga kuraMimi huwa nasema huwezi kuwa na akili timamu ukashabikia uovu wa CCM na Serikali yake
Ujinga unatembea nao kichwani kwakoAcha ujinga
Wizi ambao ni wa style ileile upinzani unaoulalamikia na hawana mikakati yoyote kuizuia.Wizi wa CCM ni wizi wa kishamba mno
Sugu chali
Siku zote masikini na wajinga hawajitambuwiTatizo ni hao askari ambao wanaish maisha yakikolo vibaya mno na bado wanatetea, haya wamebaki CCM pekeyao bungeni tutaona mausenge yenu huko bungeni tutakuwa tunacheka tu, utakuta wanaoshangilia wengi ndugu zao vijijin hata viatu hawana ila sababu wao wapo mjini wanaona sawa tu, me huwa nawashangaa sana watu wana level za ubinafsi za hali ya juu
Hmm hii siyo sahihi bali ni bora huu ubabe uluotumika kuyahalalisha haya basi Ungetumika kuzuia tusiingie kwenye uchaguzi na tungekuwa tumeokoa fedha nyingi sana zilizopotezwa kwenye igizo hili... Na mwisho tungetumia hizo fedha kuendelea na ujenzi wa taifa letu walah...Upinzani hawakuwa serious Sana Kama alivyo Lissu kwenye kudai katiba mpya na Tume huru.Lissu alivyopigwa Risasi Upinzani ukaishia pale,hata hizi kura chache ambazo Upinzani wamepata Ni baada ya Lissu kurejea
We mjinga kweli nadhani unaongoza kwa ujinga unatisha watu wenye akili zao wenyewe ngese kweli mtu mjinga siku zote hatumii akili hutumia vitishoUsinitafutie ban wewe. Nilikueleza vipi? Moshi mjini Mmeng'oka pia. Wapi Sugu wako?
Wizi ambao ni wa style ileile upinzani unaoulalamikia na hawana mikakati yoyote kuizuia.
Ndo hoja zenu kwa sasa?
Aitaki kujadiliana na mpuuzi wewe. Ukikua utajuaWe mjinga kweli nadhani unaongoza kwa ujinga unatisha watu wenye akili zao wenyewe ngese kweli mtu mjinga siku zote hatumii akili hutumia vitisho
Huna hujuwalo zaidi ya kuendeshwa na mfumo wa wiziAitaki kujadiliana na mpuuzi wewe. Ukikua utajua
Tunafanya pate leo kama hushangilii ni weweKituo chenye wapiga kura 125,239 (registered voters) msimamizi anatangaza wamepiga kura 437,980, hata wizi hauko hivyo.
Uchaguzi ambao karibu nusu ya wagombea ubunge nchi nzima aidha wamekamatwa, wanashikiliwa na polisi au kujeruhiwa kwa silaha, utashangiliaje matokeo haya.
Matokeo ya uchaguzi ambao karatasi za kura feki zimezagaa mitaani nchi nzima.
Uchaguzi ambao wakati wa kuhesabu kura polisi wanaingia vituoni wanawatoa mawakala wote wa vyama vingine anabaki wakala wa CCM na msimamizi wa kituo wakihesabu peke yao.
Uchaguzi ambao OCD anaingia kituo cha kupigia kura anakwapua ballot box na kuondoka nalo.
Uchaguzi ambao matokeo yanaonyesha wagombea wote wa ubunge toka CCM wameshinda.
Hata mwana CCM mwenye akili timamu hawezi kushangilia matokeo ya uchaguzi kama huu unaokwenda kuligawa taifa.
Mwisho wa Lissu wako, wenye akili tulijua anakuja kuwaua chadema. Huwezi kumshinda rais aliye madarakani kwa kumtukana. Nilijaribu kuwahusia nyie vibaraka wa Chadema hamkunisikiliza.Huna hujuwalo zaidi ya kuendeshwa na mfumo wa wizi