Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 3,373
- 6,795
Sio kweli.. Nimesoma shule za umma kuanzia darasa la kwanza mpaka chuo kikuu..Acha uoga.
Kati ya watoto 100 wanaosoma huko uma ni 10 tu wanaotoka na elimu stahiki..na hao ni akili zao binafsi, 90 huudhuria tu kuitika jina na kuhesabu namba.
Ni sawa pesa ndiyo zimesaidia kimuweka karibu na wenye pesa ili na yeye baadae aje kuwa na pesaSasa kinachosahaulika hapo pesa zangu ndio zitakuwa zimemsaidia sio hizo shule.
Kwani kuna wale watoto wa kiarabu wanaomiliki biashara ya mabus na magorofa pale kariakoo pia walisoma kwenye shule hizo?
You Fall in those 10. You were lucky.Sio kweli.. Nimesoma shule za umma kuanzia darasa la kwanza mpaka chuo kikuu..
Vitabu vinavyotumika kwenye shule zote ni vile vile.. Abott, Nelcon nk.. Tofauti ni zile mbwembwe za Kimombo na walimu wa private kufuata ratiba.
Other wise the output is the same.
Nilianza kukuamini unalo sema ni kweli lakini kuna mahali umeanza ku 'blow your own trumpet'........sio vizuri mtu alie elimika kuanza kujisifia utajiri wenuIts 13:46 right now in beijing Time , winter is here , all i can say is THERE IS NO BETTER EDUCATION in TANZANIA compared to the INTERNATIONAL ONES, why saying so 1. Mtaala na kila kitu tunachotumia kwenye kufundisha watoto wetu ni tumerithi na kufata kila kitu kutoka kwa hao wazungu tunaowaponda hapa
2. Wenzetu wana advance kila siku sisi tumebaki na elimu ya kukariri na practical hamna kabisa
3. Wenzetu wanasoma in deep and unaona elimu ni Fun , huichukii wala huboreki kusoma na unasoma kile unachokipenda na utabobea hata kwenye somo moja kwenye ngazi za chuo
Nimeandika haraka hope nimeeleweka , mimi nimebahatika kusoma nje ya nchi sehem tofaut tofaut na nashukuru Mungu pia wazaz waliweza nipatia hiyo elimu , ila ki ukweli wenzetu wako mbali sana dunian, niko china hapa mwaka sita sasa nilipotokea india kuchua degree yangu ya computer engineering , wakat niko india ndio naanza kujifunza coding za lugha tofauti chuoni mwaka wa kwanza , wenzangu washasoma coding za computer tokea wako secondary form one , wanakuwa kidato na wanasoma basics in many things , watoto wa international hawana ulimbukeni wa kila kitu , mtu anajua deep n yuko educated in general knowldge , tuponde ila tupende kusema ukweli hamna mtu asiyependa mtoto wake asome shule kama IST bwana , embu mkapatembelee muone au mtembelee hata insta page zao , sio umbea tu , watu wako advance sana dunian , hao wa international ndio wagunduz wa vitu vyote dunian , watoa misaada kwetu na ndio CEOs n DIRECTORS wa kila kitu hata bongo , huwez choma milion 70 kwa mwaka kwa secondary kwa mtoto alafu asubirie ajira 15000 za uncle MAGU , kutembea kwangu na kusoma nje kumenijengea confidence , nimekutana na watoto wa viongozi wakubwa Africa , marafiki , nimekuza upeo , technology kila kitu , anyways nimeongea sana but nimesikitika kujua kuwa WABONGO NI KUPONDA HATA BILA KUELEWA TUNAPONDA NINI ... kumbuka mimi sio limbukeni aswell WAKISHUA since DAY 1 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila mswahili kutupa
Hahaa itakuwa umemchanganya na MK254Umekuwa mbongo toka lini??
Geza Ulole njoo umuone mtu wako
Seminary ni nzr kumjenga mtu kifikira lakini kimaisha hasa ya kimahusiano na wasichana ni changamoto Kwa seminarians.Unazungumziaje shule za seminary ambazo wanatumia necta? Kama lengo ni kuwa international mkataa kwao ni mtumwa. Upo wapi uzalendo?
Hata niwe bilionea mwanangu atasoma seminary - uru seminary, st James, maua seminary these are the best seminary schools in Tanzania.
Mbali na passmark kupata selection tu ni ishu.
Nilianza kukuamini unalo sema ni kweli lakini kuna mahali umeanza ku 'blow your own trumpet'........sio vizuri mtu alie elimika kuanza kujisifia utajiri wenu
Madem ndio vitu gani hivyo?Tatizo hizi international schools hata watoto wa kiume wanakua kama madem tu sijui kwanin au ndo mitaala yao.
Si kweli. Tunaona changamoto sana kwa hawa waliosoma Kayumba na kubahatika kufika level za kimataifa kwenye kazi za kimataifa.
-
Wengine walifanikiwa kufika level hizo kwa Connection tu. Kwa mfano nafanya kazi na Mtanzania mwenzangu kwenye International Organizational nchini Nambia, huyu Mdada amepata kazi kwenye hiyo Organization kwa sababu tu Ndugu yake ni Balozi wa Namibia.
-
Imemlazimu kufanya short course kuanzia Lugha mpaka Communications Skills na nyinginezo kwa sababu yeye mwenyewe anajionea aibu.
-
Hizo International school zinawajenga watoto vizuri sana hata kwa KUFIKIRI na kujiamini na mzazi ukiwa msimamizi mzuri wa mtoto wako atafika mbali sana na atakuwa very presentable kwa fadhila za International Schools.
-
It is very serious issue sisi tulio kwenye International Organization tunaona mengi na tunaona changamoto ya Mfumo wetu wa elimu na Africa kwa Ujumla.
-
Ukiona Kayumba yupo kwenye hizi Organization na anafanya vyema ujue huyo kaji mix sana na anapenda kujifunza vitu mbalimbali au ana exposure ya maisha.
-
Kwanza sisi wabongo hata kuongea hatujui, sijui kwa nini ! Sio English wala Kiswahili, hatujui kuongea na wala hatufikirii tunachongea.
-
Ukitaka kuona hilo angalia wasanii wetu wanavyojibu maswali, angalia wachezaji mpira wakihojiwa akiwemo Samatha, zero kabisa, njoo kwenye ngazi za viongozi, zero kabisa, sio Kiswahili wala English.
-
Msanii anaejua kuongea vyema Kiswahili na English ni Sepetu na Vanesi na Kiongozi ni Mkapa na January tu.
-
Shida ipo sana eneo hili na ndio maana once it comes about International Interviews , yaani WATZD huwa ni wa mwisho na hapo unakuta mtu ana vyeti vizuri na pass Marks zake.
HAIWEZEKANI.Hivi inamaana hatuwezi kubadilisha mitaala ya hizi shule zetu ziwe kama za kimataifa. Najiuliza tu. Kwani hatuwezi au ni nini shida
Hivi inamaana hatuwezi kubadilisha mitaala ya hizi shule zetu ziwe kama za kimataifa. Najiuliza tu. Kwani hatuwezi au ni nini shida
hiyo ni kweli upo sahihi.Ni sawa pesa ndiyo zimesaidia kimuweka karibu na wenye pesa ili na yeye baadae aje kuwa na pesa
Mimi napinga hoja ya international School inakuza vipaji
Mimi marafiki zangu kabisa wanafundisha tena Hadi science international School of Tanganyika, Hopac iko mbezi na Braebrum international na wamesoma bongo hii, english watu wanajua sema hawako fluent Ila ukizoea kawaida, na hata kutoa kibali Cha watu wengi hvo serikali haitoi kamwe.Walimu Watanzania wanaofundisha international school wanaitwa assistant teachers. Ni wasaidizi wa walimu ambao wengi ni wageni. Kazi yao kubwa siyo kufundisha ni kuwasaidia walimu. Kama watoto bado ni wadogo sana, kuwasaidia kwenda msalani nk. Kama umesoma shule za sekondari za serikali kama mimi utakuwa unajua ninachokisema. Walimu wangu wa sekondari walikuwa hawawezi kuzungumza sentensi 2 za Kiingereza kwa ufasaha bila ya kuweka Kiswahili. Hata chuo kikuu ni hivyo hivyo. Sijui wewe unaongea walimu gani hao? Tofautisha pia international schools na English medium schools. Tusije kuwa tunaongelea vitu viwili tofauti.
Udsm ni yetu watoto wa wakulima kwa kweliHuyo anaesoma international school hukutani nae university of dar es salaam mkuu, ulaya na US universities.
Hao wasanii uliowataja, sio kuwa mazingira ndiyo yanayowabeba mkuu? Vanesa anazungumza kimalkia kizuri sana, ila usisahau hiyo wala si lugha yake ya kwanza, kifaransa akitisha zaidi. Nadhani hata Wema, ni mzuri zaidi kwenye Swanglishi. Wamezaliwa ubalozini huko kwa weupe, watoto wa Sumari, Kota n.kSi kweli. Tunaona changamoto sana kwa hawa waliosoma Kayumba na kubahatika kufika level za kimataifa kwenye kazi za kimataifa.