Mtuhumiwa wa Ubakaji amwambia Mwandishi wa Habari “Afu we Camera man nikimaliza kesi ntakutafuta”

NYUMDO

KINDAMBA

MACHUCHE
 
Kibaka huyu
 
Keshahakikishiwa kuwa atatoka huyo na ataendelea kutumikia kitengo chake cha ulawiti.

Jamaa kakubuhu mpaka anatamani wapiga picha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana, japo inahuzunisha, lol
 
Nyundo ni anajiamini balaaa, kwanza alivyokua anarukia defender, unabaki kupigwa na butwaaa.

Yulee kweli ni Mjedaa, naamini haswaaa. Woiiiiiih
Kwanza ashitakiwe pia kosa LA kutishia usalama wa mtu, mxxxiiiieeew zake.
 
Umeandika kitu ambacho kwa mara ya kwanza niliposikiliza hiyo clip nilikiona, MALEZI MABAYA hivi nguvu ya kujibu vile kaitoa wapi? Hao madogo wasichoelewa sasa hivi wanasiasa wanacheza na upepo wa wananchi sanaa hao WATAFUNGWA TU kwa vyovyote ili tu kuwapa watu imani na serikali hao madogo kwa malezi yao duni waliyoyapata ipo siku akili itawakaa sawa
 
Dah!Ila kweli,hakuna kinachoshindikana kwenye Tanzania hii ya kulindana
Tena watanzania walivyo wajinga wanazidi kumtaja afande ndio mwenye kosa baada ya kudili na Hawa dagaa waliofanya ubakaji wanamtaja afande yaani afande mwenye cheo kikubwa unamuunganisha kwenye kesi hii kama sio kutaka Hawa jamaa wasifungwe nini ndio maana jamaa wanajiamini watanzania wenyewe hawajielewi hivyo hamna kesi hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…