Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,514
- 15,701
OK watawekwa jela kwa usalama wao.Hafungwi mtu hapo acheni kudanganyana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OK watawekwa jela kwa usalama wao.Hafungwi mtu hapo acheni kudanganyana
KALIKUWA KANANYOSHA VIDOLE KATIHako kajamaa kalikuwa upande gan kwenye video
NYUMDOWatuhumiwa wanne wa kesi ya Ubakaji na ulawiti ambao ni Askari wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) MT 140105 Clinton Damas maarufu Nyundo, Amini Lema maarufu Kindamba, Nickson Jackson maarufu Machuche na Askari wa Jeshi la Magereza C 1693 Praygod Mushi wakiondolewa mahakamani jioni hii kurudishwa mahabusu mpaka Agosti 28, 2024 ambapo kesi hiyo itaendelea tena.
Nyundo na wenzake wakati wakitoka Mahakamani mmoja wao alisikika akimwambia Cameraman kuwa akifanikiwa kumaliza kesi yao atamtafuta "Wewe cameraman nikimaliza kesi nitakutafuta" Endelea Kufuatilia kurasa Zetu kufahamu Kuhusu kilichojiri Mahakamani kuhusu Kesi hii leo Agosti 23, 2024.
Kwa nini hafungwi?Hafungwi mtu hapo acheni kudanganyana
Haya fanya kwa ajili ya huyo kwa sababu umeshajua kwa uzoefu wako kuwa hatapata haki mahakamani!Mimi sina mikwara ila ninachoongea ni kitu cha kweli kabisa kwangu
Siwezi kufanya kwa ajili ya mwingine tena ambae hata jina lake silijuiHaya fanya kwa ajili ya huyo kwa sababu umeshajua kwa uzoefu wako kuwa hatapata haki mahakamani!
Kibaka huyuWatuhumiwa wanne wa kesi ya Ubakaji na ulawiti ambao ni Askari wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) MT 140105 Clinton Damas maarufu Nyundo, Amini Lema maarufu Kindamba, Nickson Jackson maarufu Machuche na Askari wa Jeshi la Magereza C 1693 Praygod Mushi wakiondolewa mahakamani jioni hii kurudishwa mahabusu mpaka Agosti 28, 2024 ambapo kesi hiyo itaendelea tena.
Nyundo na wenzake wakati wakitoka Mahakamani mmoja wao alisikika akimwambia Cameraman kuwa akifanikiwa kumaliza kesi yao atamtafuta "Wewe cameraman nikimaliza kesi nitakutafuta" Endelea Kufuatilia kurasa Zetu kufahamu Kuhusu kilichojiri Mahakamani kuhusu Kesi hii leo Agosti 23, 2024.
So, uliandika juu ya uwezo wako ili usifiwe?Siwezi kufanya kwa ajili ya mwingine tena ambae hata jina lake silijui
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana, japo inahuzunisha, lolKeshahakikishiwa kuwa atatoka huyo na ataendelea kutumikia kitengo chake cha ulawiti.
Jamaa kakubuhu mpaka anatamani wapiga picha.
Utampatia wapi wewe huyo hawezi kufungwa na la kufanya hamnaOK watawekwa jela kwa usalama wao.
Umeandika kitu ambacho kwa mara ya kwanza niliposikiliza hiyo clip nilikiona, MALEZI MABAYA hivi nguvu ya kujibu vile kaitoa wapi? Hao madogo wasichoelewa sasa hivi wanasiasa wanacheza na upepo wa wananchi sanaa hao WATAFUNGWA TU kwa vyovyote ili tu kuwapa watu imani na serikali hao madogo kwa malezi yao duni waliyoyapata ipo siku akili itawakaa sawaNi utovu wa nidhamu wa Hali ya juu sana,kwanza kwa binadamu aliyelelewa ktk maadili mazuri hapo anajua ni kosa kabisa kuingilia kazi ya mtu pia ni wazi Kuna shida katika makuzi ya sasa maana kwa Hali aliyonayo mtuhumiwa angekuwa anajuta. Na pengine kuwa mtu wa sala na toba na pia mtu mtulivu maana ni kwa Nini awe yeye na siyo mtu mwingine,hili Ndo swala la msingi angekuwa anajiuliza.Naisi wazazi wa Leo Kuna sehemu tunakosea,Ina maana akitoka afanye Tena jinai,duh Dunia inapitia pabaya sana.
Gang rape ni kifungo cha maisha bwana mkubwa...Akifungwa tofauti na hapo dunia itashangaa.Atamtafuta akitoka lupango baada ya miaka 30
Nani afungwe wewe yaani umfunge askari tanzania hiiGang rape ni kifungo cha maisha bwana mkubwa...Akifungwa tofauti na hapo dunia itashangaa.
Dah!Ila kweli,hakuna kinachoshindikana kwenye Tanzania hii ya kulindanaNani afungwe wewe yaani umfunge askari tanzania hii
Tena watanzania walivyo wajinga wanazidi kumtaja afande ndio mwenye kosa baada ya kudili na Hawa dagaa waliofanya ubakaji wanamtaja afande yaani afande mwenye cheo kikubwa unamuunganisha kwenye kesi hii kama sio kutaka Hawa jamaa wasifungwe nini ndio maana jamaa wanajiamini watanzania wenyewe hawajielewi hivyo hamna kesi hapoDah!Ila kweli,hakuna kinachoshindikana kwenye Tanzania hii ya kulindana
Nikuhakikishie tu wanaenda kufungwa na uzuri hukumu yao haicheleweshwi kutokana na kesi kusikilizwa mfululizo.Nani afungwe wewe yaani umfunge askari tanzania hii