Mtuhumiwa wa Ubakaji amwambia Mwandishi wa Habari “Afu we Camera man nikimaliza kesi ntakutafuta”

Nikuhakikishie tu wanaenda kufungwa na uzuri hukumu yao haicheleweshwi kutokana na kesi kusikilizwa mfululizo.

Usiniulize kwanini nasema hivi ila jua tu wanakula mvua nzito.
Hamna kitu hapo hamna ataefungwa hapo nimemaliza hivi kabisa tanzania hii ifunge askari mnajifurahisha tu na kupoteza mda kudanganyana huyo demu kashaliwa na hamna watalofanywa
 
Kesi za hivi wakidanganywa na waliowatuma wanaamini watatoka mapema na sasa hivi wanapelekewa vyakula vingi tu subiri baadae wapeleka chakula wachoke wawe wanaenda mahakamani mpaka wawapigie simu ndio wataanza kujuta kwa walichokifanya sio sasa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…