Juice world
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,982
- 2,706
Hamna kitu hapo hamna ataefungwa hapo nimemaliza hivi kabisa tanzania hii ifunge askari mnajifurahisha tu na kupoteza mda kudanganyana huyo demu kashaliwa na hamna watalofanywaNikuhakikishie tu wanaenda kufungwa na uzuri hukumu yao haicheleweshwi kutokana na kesi kusikilizwa mfululizo.
Usiniulize kwanini nasema hivi ila jua tu wanakula mvua nzito.