Mtuhumiwa wa Ubakaji amwambia Mwandishi wa Habari “Afu we Camera man nikimaliza kesi ntakutafuta”

Kwa staili hiyo mkuu, basi na wanafunzi wa chuo waliosoma kwa mkopo nao wakifanya makosa wasifungwe la sivyo kodi zetu zitakuwa zimeenda bure, au we unaonaje?
 
Hapana, kuna kitu hujaelewa mkuu.

Askari jeshi, anafundishwa kutoa lugha isiyo sahihi, ili yule aliyemteka apate hasira na afanye maamuzi yasiyo sahihi.

Sijui kama unaelewa ninachojaribu kueleza hapa!
Tone + Maneno aliyochagua yanachora kichwa chake ingali hakujua anasemezana Nani. ?
 
Tone + Maneno aliyochagua yanachora kichwa chake ingali hakujua anasemezana Nani. ?
Huyo askari, amekariri mafunzo ya jeshini. Ambayo ni kuwa, mudq wote adui mpe majibu ya kunya.

Hakuna mwanajeshi anayefundishwa kumnyenyekea au kumheshimu adui.

Kwa mwanajeshi, yule aliyempeleka, anayemshtaki, au anayemshikilia huko mahakamani ni kama adui.

Kuna kitu najaribu kuelezea, sijui kama unanielewa.
 
Kwahiyo Hadi wanapohojiwa mahakaman wanajibu kunya ili kubaki katika misnigi ya Mafunzo ?
 
Mjeshi lazima ujiamini. Huyo dogo hata mahabusu hakuna fara WA kumsogerea. Hata masoja WA magereza wanamkubali na wanampa ugali na beans la kutosha.

Madogo watashinda kesi na kurejea uraiani ingawa vyombo vyao vitawatema.
Jifunze kutifautisha matumizi ya 'r' na 'l'

Sasa jera ndio ndio nini?

We kweli wa jera jera.
 
Mkuu kwa upande wako uko sahihi kabisa ila kwa mawazo na Nchi na miongozo yake unachosema hakipo hivyo kabisa hao WATAFUNGWA VIZURI
 
Tukiachana na uhalifu wao, hiyo ni nzuri.

Askari hatakiwi kuwa mnyonge, until the last drop of blood, he should be proud.

Nafikiri umenielewa ninachotaka kueleza hapa.

Ninaona kwamba askari wetu wa TPDF wanapata mafunzo stahiki.
Hivi umeshaingia kumi na nane za Al Shaba halafu mabisu yapo mkononi unafikili askari wa KITANZANIA ataleta kiburi acha uongo hao wanaleta kiburi hapa tu Tanzania sio kumi na nane za wahuni
 
Kitu kingine Cha kushangaza,
Mmoja jw
Mwingine magereza
Mwingine uhamiaji.
Nani kawakutanisha Hawa...
 
Half man half genius
Sijui umewaza nini mkuu 🙌🙌🙌🤛🤛🤛🤛
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…