Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa staili hiyo mkuu, basi na wanafunzi wa chuo waliosoma kwa mkopo nao wakifanya makosa wasifungwe la sivyo kodi zetu zitakuwa zimeenda bure, au we unaonaje?Soma vizuri nilichoandika.
Mimi ninapendekeza wazo, ambalo linaweza kuwa na faida kwa nchi. Kama halipo kwny sheria liwekwe.
Mwanajeshi akifanya kosa, apewe adhabu ya kwenda kupigana na Al shababu huko Somalia.
Najaribu kupendekeza kitu chenye faida, kumnyonga au kumfunga maisha, haileti faida yeyote. cc@Kiranga
Tone + Maneno aliyochagua yanachora kichwa chake ingali hakujua anasemezana Nani. ?Hapana, kuna kitu hujaelewa mkuu.
Askari jeshi, anafundishwa kutoa lugha isiyo sahihi, ili yule aliyemteka apate hasira na afanye maamuzi yasiyo sahihi.
Sijui kama unaelewa ninachojaribu kueleza hapa!
Huyo askari, amekariri mafunzo ya jeshini. Ambayo ni kuwa, mudq wote adui mpe majibu ya kunya.Tone + Maneno aliyochagua yanachora kichwa chake ingali hakujua anasemezana Nani. ?
Kwahiyo Hadi wanapohojiwa mahakaman wanajibu kunya ili kubaki katika misnigi ya Mafunzo ?Huyo askari, amekariri mafunzo ya jeshini. Ambayo ni kuwa, mudq wote adui mpe majibu ya kunya.
Hakuna mwanajeshi anayefundishwa kumnyenyekea au kumheshimu adui.
Kwa mwanajeshi, yule aliyempeleka, anayemshtaki, au anayemshikilia huko mahakamani ni kama adui.
Kuna kitu najaribu kuelezea, sijui kama unanielewa.
Coca, naomba nikakutukane PM.![]()
![]()
![]()
nimecheka sana, japo inahuzunisha, lol![]()
Ni hivyo kabisa, ndio maana hawa wanatakiwa kushtakiwa kwny mahakama za kijeshi (court martial)Kwahiyo Hadi wanapohojiwa mahakaman wanajibu kunya ili kubaki katika misnigi ya Mafunzo ?
Wa huko wapi ?, Mimi fundi ujenzi.Luteni ww si wa hukohuko
Kwahiyo akisimamishwa C'martial anakua Hana adui na hawezi kutoa lugha za ajabu ?Coca, naomba nikakutukane PM.
Ni hivyo kabisa, ndio maana hawa wanatakiwa kushtakiwa kwny mahakama za kijeshi (court martial)
Yeah, court martial wanautaratibu wa tofauti kabisa, unahojiwa mara chache tu kisha unapigwa risasi.Kwahiyo akisimamishwa C'martial anakua Hana adui na hawezi kutoa lugha za ajabu ?
Kwani ndo hukumu jumatano ijayoUnaleta mambo ya vitabu na Netflix kwenye criminal case ambayo 90 ya facts zipo.Anayechomoka ni afande afisa.Subiri jumatano ijayo.
Ni balaa hili dogo anajkuta sana huyu
[/QUOT
Takataka tu hizo jw aliyewiva awezi fanya ujinga huo kwanza hata huko washatemwa hao ni raia
Jifunze kutifautisha matumizi ya 'r' na 'l'Mjeshi lazima ujiamini. Huyo dogo hata mahabusu hakuna fara WA kumsogerea. Hata masoja WA magereza wanamkubali na wanampa ugali na beans la kutosha.
Madogo watashinda kesi na kurejea uraiani ingawa vyombo vyao vitawatema.
Muwaue kisa nini?Hawa wakitoka ni kuwatengenezea mazingira kuwaua,shenzi
Mkuu kwa upande wako uko sahihi kabisa ila kwa mawazo na Nchi na miongozo yake unachosema hakipo hivyo kabisa hao WATAFUNGWA VIZURISoma vizuri nilichoandika.
Mimi ninapendekeza wazo, ambalo linaweza kuwa na faida kwa nchi. Kama halipo kwny sheria liwekwe.
Mwanajeshi akifanya kosa, apewe adhabu ya kwenda kupigana na Al shababu huko Somalia.
Najaribu kupendekeza kitu chenye faida, kumnyonga au kumfunga maisha, haileti faida yeyote. cc@Kiranga
Hapo unapotosha sanaHapana, kuna kitu hujaelewa mkuu.
Askari jeshi, anafundishwa kutoa lugha isiyo sahihi, ili yule aliyemteka apate hasira na afanye maamuzi yasiyo sahihi.
Sijui kama unaelewa ninachojaribu kueleza hapa!
Hivi umeshaingia kumi na nane za Al Shaba halafu mabisu yapo mkononi unafikili askari wa KITANZANIA ataleta kiburi acha uongo hao wanaleta kiburi hapa tu Tanzania sio kumi na nane za wahuniTukiachana na uhalifu wao, hiyo ni nzuri.
Askari hatakiwi kuwa mnyonge, until the last drop of blood, he should be proud.
Nafikiri umenielewa ninachotaka kueleza hapa.
Ninaona kwamba askari wetu wa TPDF wanapata mafunzo stahiki.
Alitembea na msichana wa mtaani (under 18 Ila hakuwa mwanafunzi)Alifanya kosa gani
Kitu kingine Cha kushangaza,Inaonekana wameshawafanyia watu uhalifu sana.
Ile video isingevuja wangezidi kuwafanyia wanachi uhalifu.
Inavyoelekea wameshabaka si mmoja kwa kigezo cha kuwa jwtz.
Hawa dawa yao wakikuzingua mtaani ni kutandika tu, akikuzidi tafuta hata jiwe piga. Shenzi kabisa.
We jamaa umepiga law nini..?Hapo hamna kesi hakuna ushahidi dhahiri wa kuwatia hatiani
Mahakama haifanyi kaZi Kwa hisia
Hao jamaa hakuna hakimu mwenye akili timamu atawatia hatiani
Half man half geniusMimi sipendi uhalifu, na ninachukia kabisa walichokifanya hawa wanajeshi.
Lakini ukisoma kitabu cha THE EAGLE HAS LANDED, tunamuona Kanali Kuyt Steiner anapewa adhabu ya kuongoza kikosi cha parachuters 13 kwenda kumteka au kumuua kabisa waziri mkuu wa uingereza kipindi hicho, Sir. Winston Churchill.
Hii ilitolewa kama adhabu, kwa kanali Steiner na wenzake, baada ya kufanya makosa.
Nafikiri, tunatakiwa kuiga kitu kama hiki kama taifa. Tujiulize, tunafaidika nini kama taifa kwa kumfunga jela Nyundo na wenzake?
Ninamaanisha, hawa ni askari waliopata mafunzo maalumu kwa kutumia kodi zetu. Wakifia jela, na kodi zetu zinakuwa zimefia jela.
Kwa nini wasipewe ''asainimenti'' ngumu, ili iwe kama adhabu kwa makosa yao?
Wapewe kazi ya kwenda kulitetea taifa hata afghanistan huko kupigana na wataleban, kama adhabu.