Zebushishi
Member
- Jul 21, 2022
- 54
- 123
Hapo walibebana mzee ndio tatizo hyo hiace afu jumla wapo 29... Wamekaaje humoInaonekana kule upande ilipoangukia imejibamiza kwa nguvu na body likarudi huku upande wa dereva na kuwabana ukiangalia kwa makini.
Wapunzike kwa amani Marehemu wote waliotangulia kwenye ajali hiyo na maheruhi Mungu awasimamie wapate kupona haraka. [emoji17]
😐😐😐Hapo walibebana mzee ndio tatizo hyo hiace afu jumla wapo 29... Wamekaaje humo
Ulikuwa umelala shehe?Watu 10 wakiwemo wanafunzi nane wa Shule ya Msingi ya King David iliyopo mkoani Mtwara wamefariki dunia katika ajali ya gari ya shule hiyo iloyotokea katika eneo la Mjimwema, Manispaa ya Mtwara Mikindani,,,
Ni tukio la asubuhi hivyo taarifa zishaeneaHii habari bora hata vyombo vya habari visiirushe kwenye taarifa ya HABARI USIKU italeta TAHARUKI NA HOFU MIOYONI
Ila madereva wa hizo gari za shule nao Vimeo sana! Yaani unajua kabisa gari lako bovu,kwa Nini ukimbize speed badala ya kwenda nalo adoado hadi ufike salama!!!? Gari bovu ni la kubembelezwa Kama huna pesa ya kulipeleka garage,ukitaka ma mbio peleka gari lako garage ili lichekiwa kwenye kila sector Kama liko OK!!Ndio nakumbuka Dear, ile ajari ndio ilisababisha serikali itowe Amri gari ziende garage Kila mwezi na zilipelekwa kweri, naona yule Waziri alipoondoka na utaratibu ukafa
Binafsi nilipooana picha niliamini hakuna madhara yoyote hasa kifo.Duh! taarifa mbaya sana hii...
Lakini hadi sasa najiuliza hiyo ajali imekuaje imeua watu wengi hivyo, ukitazama picha ni kama impact sio kubwa na gari imeingia kidogo tu katika korongo...
Mambo ya shift noma ndo naingia sasaUlikuwa umelala shehe?
Kwa nini mkuuUlikuwa umelala shehe?
Upo sahihi, wale watoto wa kindergarten Ni ngumu kuwafunga beltsSeatbelts zinaweza kusaidia sana. Lakini ukiangalia school buses za wenzetu huwa hazina seatbelts. Watoto wengine wadogo sana. Lakini barabarani wana sheria ambazo zinayapa magari ya wanafunzi. Mfano gari ya wanafunzi ikisimama kupakia wanafunzi, gari zingine zote zinasimama.
Hii habari ipo tangu asubuhi sanaKwa nini mkuu