Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ya Zombe na wenzake yamejirudiaView attachment 2095724
JESHI la Polisi Mkoani Mtwara limewakamata na kuwafikisha mahakamani Maafisa wa Polisi saba kwa tuhuma za mauaji ya Mussa Hamisi Hamisi (25) mkazi wa Kijiji cha Ruponda wilayani Nachingwea Mkoani Lindi aliyekuwa akiwadai askari hao zaidi ya Sh milioni 33.7...
Ukisikiliza hiyo video nimeattach juu utaona kabisa RPC hayupo sawa kisaikolojiaYa Zombe na wenzake yamejirudia
Muuaji na mporaji wa fedha za watu hawezi kuwa sawa.Ukisikiliza hiyo video nimeattach juu utaona kabisa RPC hayupo sawa kisaikolojia
Sure mkuu ila hawa kina kingai nao ipo siku yao.Muuaji na mporaji wa fedha za watu hawezi kuwa sawa.
Hapo kuanzia RPC, RCO na hao wengine, wote ni syndicate ya ujambazi.
Si uliona hata ile syndicate ya Kingai, Jumanne, Goodluck na Mahita?
No mkuu nikupaza sauti ndugu kutokuwa waoga.Huyo alieuliwa huenda ni mtoto, ndugu au rafiki wa polisi mwenye cheo kizito sana kama rpc au ocd ndio maana jambo limekuwa zito hivi, na hao waliomuua hawachomoki hapo. ila ingekua ni kivingine ingepita tu fasta
Ukiangalia video ya press yake ni wazi ni mtu mwenye mashaka makuu.Ni ajabu RPC bado yupo ofisini kwa wenzetu ulaya hadi waziri angeshajiuzulu kwa hii kashfa.
Ukiacha RPC nashindwa elewa..Muuaji na mporaji wa fedha za watu hawezi kuwa sawa.
Hapo kuanzia RPC, RCO na hao wengine, wote ni syndicate ya ujambazi.
Si uliona hata ile syndicate ya Kingai, Jumanne, Goodluck na Mahita?
Mauaji yamehalalishwa awamu hii
watu wangapi huwa wanapaza sautiNo mkuu nikupaza sauti ndugu kutokuwa waoga.
Ndio tusiache kupaza sauti.. kama ya kwao imesikika. Hukuona video walivyo liamsha dude?watu wangapi huwa wanapaza sauti
Inamaana na RCO nae atakuwa amekamatwa!?Kwa mazingira yalivyokuwa na kwa muda uliopita toka tukio la mauaji litokee naamini Mhe. Waziri Mkuu ambaye ni mzaliwa Lindi anapotoka marehemu alishirikishwa na wananchi....