Muda huu Hizbullah yazichakaza airbases za Israel. China yasema ipo pamoja na Lebanon kujilinda

Wametoma rocket nyingi lakini zimekua off target kutokana na IRONE DOME. israel wamtuma chache tu wamekufa 500 majerui 2000 na ushee
Nani kakwambia zimeenda off target!?
Kama zimeenda off target raia wasingekua wanalia na kukimbizana kwenye mahandaki.
Ulitizama kikao cha UNGA jana??
 
Sio lazima iwe hali mbaya kwa Israeli, Halafu kumbuka hao watu wako nyumbani kwa US, lazima kuwe na lugha za kupoza ili mataifa mengine yasiwalaumu sana. Ndio maana unaona Macron anawakilisha Lebanon na Biden anawakilisha Israel.
Mbona UN ndio walianza kuomba usuruhishi ufanyike mapema kuepusha janga Lebanon?
 
Dunia ikishajua itawasaidia nini Palestina?
Papo waliposaidika japo sio yale matumaini hitajika.
Kama isingekua kwa hilo kujulikana baada ya vikao vya Cairo summit mwaka jana basi wazungu wote wangeendelea kumuona mwarabu gaidi na wasingethubutu kwenda kinyume na USA na Israel kuhusu mzozo wa Palestina.
 
Ule ni unafiki unafanywa ili kujaribu kubalance mambo.
Wote bado wako royal kwa US, kumbuka pia lazima waingize unafiki kulinda masoko yao ya siraha katika nchi za kiarabu.
 
Mkuu fuatilia vizuri,ni lazima hali iwe mbaya kwa Israel ndio USA aweze ku push resolution.
Kipindi Antonio Gutteres anahimiza makubaliano ya amani USA alizidi kupeleka battle ship red sea na alizidi kuisapoti Israel akinadi kabisa "Israel has the right to defend itself in any means".
Hawakumsikiliza kabisa Gutteres.
Ila kuanzia usiku wa kuamkia jumanne hadi leo alhamisi Hizbollah alivyokua anarusha makombora non-stop jana ndio wamejishaua watoe wazo la majadiliano ya amani.
Kwanini hayo hawakuyaleta kabla!?
Yale yale ya 2006 hizbollah alimburuta IDF hadi shebah farms kutoka Bint jubeir USA ndio akajifanya kuleta UN resolutions.
Mwisho kapata hasara ya mateka wawili.
 
Ule ni unafiki unafanywa ili kujaribu kubalance mambo.
Wote bado wako royal kwa US, kumbuka pia lazima waingize unafiki kulinda masoko yao ya siraha katika nchi za kiarabu.
Hizo nchi unazozisemea haziwezi kuathiriwa sana na USA.
*Brazil.
*Spain.
*Belgium ndizo nchi zilizoanza kumgomea USA na kusitisha diplomasia na Israel.
Baada ya hapo mataifa 124+ yalipiga kura dhidi ya Israel kujiondoa Gaza na Palestina itambulike kama nchi huru.
Mkuu USA ana uchumi gani wa kushindana na mataifa yote hayo yakimgomea?
Hili lilisababisha global influence ya USA ishuke sana mwaka huu.
 
Hayo makombora yameua waisrael wangapi?
Mpaka sasa nani kaathiliwa sana na hayo mapigano?
 
Hizo ni siasa mkuu.
Kama ingekuwa ni uadui, Rais wa Iran asingekanyaga US.
Mbona wamemgomea lakini bado mambo yanaenda vile anavyotaka yeye na wameufyata?
 
Hizo ni siasa mkuu.
Kama ingekuwa ni uadui, Rais wa Iran asingekanyaga US.
Mbona wamemgomea lakini bado mambo yanaenda vile anavyotaka yeye na wameufyata?
*Iran ameenda USA New York UN headquarters.
Hajaenda kwa ziara yake kwa USA hapana.UN ndio imempeleka mkuu.
Sasa unadhani italeta maana USA ingemzuia Iran kuhudhuria makao makuu ya UN!?
Mambo hayaendi kama mwanzo mkuu,safari hii USA na Israel wametema sana mabungo na athari zimeonekana.
*Anti-Semitism iliongezeka duniani kote dhidi ya Israel.
*Mataifa mengi yaligoma kuunda coalition na USA dhidi ya Yemeni pale red sea Baab Al mandib.
*Raia wa USA na UK wazungu asili yao waliandamana dhidi ya serikali zao kuikingia kifua Israel.
Hatua ilipofikia USA anaonekana anapoteza ushawishi duniani siku hadi siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…