Mkuu fuatilia vizuri,ni lazima hali iwe mbaya kwa Israel ndio USA aweze ku push resolution.
Kipindi Antonio Gutteres anahimiza makubaliano ya amani USA alizidi kupeleka battle ship red sea na alizidi kuisapoti Israel akinadi kabisa "Israel has the right to defend itself in any means".
Hawakumsikiliza kabisa Gutteres.
Ila kuanzia usiku wa kuamkia jumanne hadi leo alhamisi Hizbollah alivyokua anarusha makombora non-stop jana ndio wamejishaua watoe wazo la majadiliano ya amani.
Kwanini hayo hawakuyaleta kabla!?
Yale yale ya 2006 hizbollah alimburuta IDF hadi shebah farms kutoka Bint jubeir USA ndio akajifanya kuleta UN resolutions.
Mwisho kapata hasara ya mateka wawili.