Tetesi: Muda wowote kuanzia sasa Samia ataachana na DP World!

FaizaFoxy Ritz kahtaan THE BIG SHOW wanazo hizi taarifa ?
 
Kama ni kweli nampongeza na kumshukuru sana Mama.
Lakini jambo hilo limetujeruhi sana CCM kiasi ambacho imani ya wananchi imepungua sana.Nashauri CCM tujihadhali siku za mbeleni katika kufanya maamuzi.
Endeleeni kuota
 
Nami nitakuwa wa kwanza kumpongeza!
DP World imemchafua mama, siyo siri.
 
Mkuu hongera kwa Samia? Kwa vipi wakati amefanya kosa na bado hajakiri na kuna watu wamewekwa ndani kwa kuhoji; tena wakisingiziwa uhaini? Anyways, hata mimi nimesikia alipotoroka kwenda Uarabuni alikwenda kuwaomba mambo yaishe.
Yakweli Hayo!?
 
Kwahiyo unataka kusema ndoto za Samia kuifanya bandari ya Dar kuwa kama bandari ya Dubai zimekufa?
 
Halafu atawaambia nini Wafuasi wake waliozunguka nchi nzima kuupamba mkataba!!! Ngumu hiyo
 
ndio mlivyojidanganya hapo kijiweni nyie mazuzu. Eti tetesi, we kweli ni mwehu km hao wehu wenzio. Na akiachana na mpango huo nyie mazuzu mtapata faida gani. kenge kweli
Naanza kuhisi watu wa itikadi fulani walitehgemea hao DP wakija wao watanufaika moja kwa moja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…