Wanaenda kule kuwekeza vipaji vyao, sio kwamba Waarabu wanaenda kwa akina Neymar. Ishu yetu ni kwamba jamaa wa Dubai wanakuja kuchukua bandari zote na anga.Haya
Wenzenu Akina Salah na Neymar wanakimbilia Arabuni Kule Ulaya na Marekani wazungu wamefirisika Lakini Nyie mnapishana na Gari la hela ππππ₯
Binafsi naamini ni rahisi sana mkeo kuachana na wewe kuliko Serikali kuachana na Mkataba Mnono wa DP World.Be the first to know... muda wowote kuanzia sasa Rais Samia atauzima rasmi mjadala unaochukua sura mpya kila siku nao si mwingine bali ni DP World!
Vyanzo vyangu toka ndani ya Chama na Serikali vinabainisha joto la mjadala linaelekea pabaya hivyo busara imetumika kufunika kombe mwanaharamu apite!
Hongera samia kwa usikivu kumbe zile R nne zinatoka moyoni!
Haya
Wenzenu Akina Salah na Neymar wanakimbilia Arabuni Kule Ulaya na Marekani wazungu wamefirisika Lakini Nyie mnapishana na Gari la hela ππππ₯
Mtabakia midomo wazi sukuma gangKumbe sukuma gang bado ina nguvu ee?
Basi 2025 ajiandae kurudi jambiani
Be the first to know... muda wowote kuanzia sasa Rais Samia atauzima rasmi mjadala unaochukua sura mpya kila siku nao si mwingine bali ni DP World!
Vyanzo vyangu toka ndani ya Chama na Serikali vinabainisha joto la mjadala linaelekea pabaya hivyo busara imetumika kufunika kombe mwanaharamu apite!
Hongera samia kwa usikivu kumbe zile R nne zinatoka moyoni!
Acha lipite kushoto hatutaki ujingaHaya
Wenzenu Akina Salah na Neymar wanakimbilia Arabuni Kule Ulaya na Marekani wazungu wamefirisika Lakini Nyie mnapishana na Gari la hela ππππ₯
Hii itakuwa habari mbaya sana kwa faza foksiBe the first to know... muda wowote kuanzia sasa Rais Samia atauzima rasmi mjadala unaochukua sura mpya kila siku nao si mwingine bali ni DP World!
Vyanzo vyangu toka ndani ya Chama na Serikali vinabainisha joto la mjadala linaelekea pabaya hivyo busara imetumika kufunika kombe mwanaharamu apite!
Hongera samia kwa usikivu kumbe zile R nne zinatoka moyoni!
Be the first to know... muda wowote kuanzia sasa Rais Samia atauzima rasmi mjadala unaochukua sura mpya kila siku nao si mwingine bali ni DP WorldBonyeza DPWπππTukitaka kupata vichekesho vingine kama hivi tubonyeze no ngapi?
Sijui kwanini hajawashtukia!Kuna watu wanahahakisha Mama anakwama Kwa namna yoyote Ile.Uwa naumia sana watu wanavyotaka kumuharibia hili haonekane hafai.
Ikizingatiwa wamechafuliwa sana, yaani Dp world wanaonekana kama nini sijui! Hata wangefanya kazi Tanzania mazingira ya ufanyaji kazi yangewawia magumu mno.Akiwatosa ajue atalipa mabilioni ya dola na warudisge chao 1T wamesunda.....muda mwalimu mzuri
Bora waje kivingine bila kupata ardhi yetu through lease, tupo macho kodo tunawaangalia 24/7Huu mkataba hakuna namna yoyote ya kuendelea kuutekeleza! Hivi mlisoma vile vifungu vya ki-Mangungo? Huu mkataba utakufa kifo cha mende ila kuna uwezekano wa waarabu kuja kivingine. Kumbuka walisaini pia mikataba mingine midogo midogo. Ile itaendelezwa na hata bandari itachukuliwa kwa mkataba kama ilivyokuwa mkataba wa kampuni ta Karamagi.
Hongera kwa lipi??kujitekenya mwenyewe na kucheka mwenyeweBe the first to know... muda wowote kuanzia sasa Rais Samia atauzima rasmi mjadala unaochukua sura mpya kila siku nao si mwingine bali ni DP World!
Vyanzo vyangu toka ndani ya Chama na Serikali vinabainisha joto la mjadala linaelekea pabaya hivyo busara imetumika kufunika kombe mwanaharamu apite!
Hongera samia kwa usikivu kumbe zile R nne zinatoka moyoni!
Haya rushwa itarudishwaje? Hasa yule tumbili mkosa sura wa mjengoni aliyesunda 2.5m USD?Be the first to know... muda wowote kuanzia sasa Rais Samia atauzima rasmi mjadala unaochukua sura mpya kila siku nao si mwingine bali ni DP World!
Vyanzo vyangu toka ndani ya Chama na Serikali vinabainisha joto la mjadala linaelekea pabaya hivyo busara imetumika kufunika kombe mwanaharamu apite!
Hongera samia kwa usikivu kumbe zile R nne zinatoka moyoni!
Inatakiwa sisi ndio twende huko kama akina Neymar sio wao kuja hukuπ€£Haya
Wenzenu Akina Salah na Neymar wanakimbilia Arabuni Kule Ulaya na Marekani wazungu wamefirisika Lakini Nyie mnapishana na Gari la hela ππππ₯
That's what's up wakatulipe huko huko na maujuzi yetu sio kuja huku kutupiga miaka 1,000Inatakiwa sisi ndio twende huko kama akina Neymar sio wao kuja hukuπ€£
Hamna shukranAsababishe matatizo yeye, hongera ya nn? Anapaswa kujitokeza hadharani na kuwataka radhi Watz
Acheni kabisa kutusingizia. Haya matatizo ni yake mwenyewe ya kujitakia kwa kufuata ushauri wa kifisadi wa Kikwete. Matatizo ajitafutie mwenyewe, maji yanapomfika shingoni mnaanza kutusingizia sisi, acheni ujinga huo.Tatizo halipo kwa mama bali ni kikundi cha sukuma gang kina muingiza kwenye matatizo makusudi ili mwaka 2025 akataliwe
Tamko mlilolihitaji linakuja sasa shida ipo wapi,au mnaona uchungu mtakosa SONGESHA, SUALA LA KUPIGA NALO KELELEππππ!Wanatuseti .nawaambia WANATUSETIIIIIIIIIIIII hawa