Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Hela za kuchukuwa mali zetu milele nikiasi gani cha helaHaya
Wenzenu Akina Salah na Neymar wanakimbilia Arabuni Kule Ulaya na Marekani wazungu wamefirisika Lakini Nyie mnapishana na Gari la hela [emoji1][emoji1][emoji23][emoji91]
Yah right. Pesa hizo za kuwa Lipa akina Neymar watazitoa huku kwetu.Haya
Wenzenu Akina Salah na Neymar wanakimbilia Arabuni Kule Ulaya na Marekani wazungu wamefirisika Lakini Nyie mnapishana na Gari la hela ππππ₯
Watu wana ma-deal yao Diepi Wedding ni Deal la mtuYah right. Pesa hizo za kuwa Lipa akina Neymar watazitoa huku kwetu.
Anyway, in a serious note. Hivi kweli kuna Mtanzania yeyote wa kawaida anayeamini kuwa Tanzania inaweza kwa mara ya Kwanza tangu uhuru kuwa tumesaini mkataba wenye manufaa kwa nchi..!!?
Hongera samia kwa usikivu kumbe zile R nne zinatoka moyoni!
IPTL 1994 Rais alikua MwinyiTatizo sio mkataba hapa ni utapeli wa serikali ya Kikwete donβt compare apples π and oranges. Serikali zote duniani zina mikataba ya aina hiyo na nchi nyingine lakini Tanzania ndio inaongoza kuwa na kesi kwa sababu ya kuwa na viongozi wezi na wala rushwa hela ya escrow waliba ndio hiyo sasa inabidi walipe
Wewe jamaa huendi mbinguni ujueJamba halafu washa feni fasta
Wewe unazani kwanini anatajwa hivyo..?Kwenye hii issue ya Bandari, tatizo ni Warabu. Kama uwekezaji huu ungeingiwa na nchi nyingine yeyote mfano uingereza, Marekani au hata China isingekuwa hali kama ilivyo sasa. Ndio maana hata maelezo ya watu muda wote wanasema kumpa Bandari Mwarabu lakini mikataba kibao mingine tuliyoingia huko nyuma hatujawahi kusema kumkabidhi Mmarekani 123.. Au kumpa Mchina 123 ..ila Mwarabu anatajwa kwa race yake.
YΓ an hao ndio akili kubwa tz? Hahahahha ndio wapanga maamuzi wa nchi hii? Hadi naona aibu
Ni yupi kati ya hao mezani.
Mmeishiwa na hoja na sasa mmerudi Kusingizia Kabila la Wasukuma.!
Hakuna genge wala Gang yeyote linaloitwa Sukuma Gang Tanzania. Kuna kabila la WASUKUMA.
CHADEMA Wacheni Ugaidi na lugha za Kiutenganishi. Wacheni GENOCIDE!
Chuki za kibinafsi baina ya Mbowe na Lissu dhidi ya Hayat Rais ibakie huko huko. Chuki hizo zisiingizwe kwenye wanja la siasa Tanzania.
CHADEMA stop your Seccesionist agenda. stop your Terorrism tacts. Stop the GENOCIDAL agenda against the WASUKUMA tribe and peoples.
CHUKI dhidi ya Kabila la Wasukuma zikomeshwe.
Ni bora umewapa tahadhari πππππHaya
Wenzenu Akina Salah na Neymar wanakimbilia Arabuni Kule Ulaya na Marekani wazungu wamefirisika Lakini Nyie mnapishana na Gari la hela ππππ₯
Wapigaji wa Bandarini watafurahi sana π π πDaaaah! Mama anafanya kosa kubwa kuvunja huu mkataba et kwa sababu ya vibaraka wa amerika wanaopiga kelele. Mmarekani bhana mtu mbaya kabisa
Nasikia zipo tena nyingine za zamani π±π±Boss jana tuu tumepigwa billioni 400 nyingine kwenye mkataba na IPTL wa miaka 30 iliyopita, na waliotuingiza ule mkataba ni hao hao CCM na serikali yake, na juzi tuu tuliona yule Professor kiazi alivyoburuzwa na kutiwa aibu hadharani akitetea mkataba wenu, trillions zinalipwa kila siku kwenye hizi arbitration kila siku kwanini sasa tuamini huu utakuwa hauna matatizo wakati wanaotuingiza ni hao hao, kama IPTL imekula zaidi ya trillion huu wa bandari, maziwa, anga etc utakuwa ni kuuza nchi kwa bei ya bure, tumieni akili nyie mnauza future ya watoto wenu na watageuzwa watumwa wa waarabu, mnasikitisha sana
Nasikia wazungu huwa wanawatetemekea waarabu wanapokwenda ulaya maana huwa wanamwaga mipesa barabarani π π πHivi joto la Dubai unalijua wewe hapakaliki ndio sababu wanakombilia Zanzibar na Dar es Salaam ulaya hawatakiwi tena walikuwa na vurugu nyingi na pesa zao za ulimbukeni wa utajiri wa haraka wakawa wanasumbua matajiri huku na kununua vitu bila Mpango na bila kuzingatia bei Wazungu wakasema ngoja tutunge sheria zetu za kuwakomesha hakuna nikabu na misikiti inayopiga kelele alfajiri na kadhalika wakaona bora warudi Zenjbar na Mzizima kule wanaweza kufanya wanachotaka bila bughudha
Peleka wanao ujombani huko sisi tuache humuHaya
Wenzenu Akina Salah na Neymar wanakimbilia Arabuni Kule Ulaya na Marekani wazungu wamefirisika Lakini Nyie mnapishana na Gari la hela ππππ₯
Captain wake Mr Henderson na Captain mwingine Mr Steven Gerald wameshatua UARABUNI sembuse Salah ! Watu wanafuata mijihela π πWewe jamaa hata siyo shabiki wa mpira. Salah bado yuko Liverpool
Umaskini ni uoga wetu binafsi.Sio kitu cha kufurahia, tunajiongezea umaskini tuu
HatulipiAkiwatosa ajue atalipa mabilioni ya dola na warudisge chao 1T wamesunda.....muda mwalimu mzuri
Itakuwa heriBe the first to know... muda wowote kuanzia sasa Rais Samia atauzima rasmi mjadala unaochukua sura mpya kila siku nao si mwingine bali ni DP World!
Vyanzo vyangu toka ndani ya Chama na Serikali vinabainisha joto la mjadala linaelekea pabaya hivyo busara imetumika kufunika kombe mwanaharamu apite!
Hongera samia kwa usikivu kumbe zile R nne zinatoka moyoni!