Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
- Thread starter
-
- #61
Wapo ndani kwa kesi gani? Mbona hawahukumiwi?Wale wapo ndani kama wahalifu wengine na si kwa sbb ni mashekhe wa uamsho. Na kama walitenda makosa hayo kwa kivuli cha dini. Hyo haitoi unafuu wowote kwao. Tunachoamini sisi uwepo wao ndani huku nje jamii yetu imekaa kwa amani.
Umeiona ford everest anaotumia lkn[emoji23][emoji23][emoji23]Yaani Mufti badala ya kutaka masheikh waachiwe yeye anaomba barabara ya korogwe?
Maajabu sana haya!
Kuna watu wanajificha kwenye vivuli vya dini kwa maslahi yao binafsi ila ukiwaangalia matendo yao hawana hiyo "dini"
Mmoja wapo ni huyu Sheikh! Hatutakiwi kuhukumu ila kwa huyu Sheikh wa BAKWATA hakuna namna
Allah Anisamehe
Kuna wanazuoni fulani wa kiislamu nilikuwa na project nao, infact professional ndio zilitukutanisha kikazi ila hawa jamaa ni swala tano na kila mwezi wanafunga siku mbili siyo kusubili mwezi wa Ramadhani tu.Mimi sijawahi kumkubali huyu mufti unajuwa watu wa kheri wakati mwingine unaweza kuwaona tu nuru yao ila huyu hapana. Mimi sichukii CCM nikipima sana ningependa washinde japo sio kwa wabunge ila nikiwaza vikundi kama hivi vya Bakwata naomba yaje mabadiliko na hawa wapate adhabu hapahapa duniani kwa unafiki wao. Nimeamini Shekh Ponda kiboko yao jeshi la mtu mmoja, kapiga perfume tu wala sio dawa ya kuuwa panya ila panya wametoka katika mashimo wanakimbia hovyo tu. Ponda wewe kiboko heshima yako.
Magufuli cheki hapa akitatua kero za waislamuHawa mashekh wanafiki wa BAKWATA wanamfanyia hujuma JPM kwa makusudi kwa kuacha kugusia kero za waislamu
Yule ponda anasema wazi wazi kero za waislam na kuvuta hisia zao
Waislamu wengi watapigia kura Lissu
Msikiti uliojengwa na Mfalme wa Morocco Ndio Magufuli anatatua kero za waislamu?Magufuli cheki hapa akitatua kero za waislamu
ANGALIA hapo akichangisha pesa kanisani kujenga msikitiMsikiti uliojengwa na Mfalme wa Morocco Ndio Magufuli anatatua kero za waislamu?
Msikiti uliojengwa magomeni na binti Mfalme wa Kuwait Enzi za mkapa ni kutatua kero za waislamu?
Msikiti wa mtoro uliojengwa na Bakhresa Ndio kutatua kero za waislamu?
Misikiti iliojengwa na Gaddafi Tanzania nzima Ndio kutatua kero za waislam?
Danganya waislamu wa darasa la saba kama Alhady
Wengine tupo kwenye digital
Waislamu wa haki tupo na ponda kura kwa Lissu
Waislamu wanafiki wapo na BAKWATA kura zao kwa yule katili Pombe
Kuchangisha hela Kanisani ni kuwadhalilisha waislamuANGALIA hapo akichangisha pesa kanisani kujenga msikiti
Makanisa yenyewe yana shida na bado kuna wakristo wanasali kwenye madarasa ya shule au chini ya miembe.ANGALIA hapo akichangisha pesa kanisani kujenga msikiti
mashule gani mnayojenga waislamu hasa nyie wa siasa kali? Mna shule nyie? Hata misikiti tu hamna mlikuwa mkitegemea kupora ya BAKWATA mkadhibitiwa.Hamjengi shule,HOSPITALI wala misikitiMbona hajasaidia ujenzi wa mashule?
Mbona hataki tupate elimu?
Huyu anadanganya waislamu darasa
Ugaidi ni nini?Uamusho ni wanatumika kama magaidi, uislam hauna vinasaba vya ugaidi, Shekhe hawezi kutetea watu wanaoharibu taswira ya ugaidi.
Bakwata imeanzishwa kwa sheria gani?mashule gani mnayojenga waislamu hasa nyie wa siasa kali? mna shule nyie? Hata misikiti tu hamna mlikuwa mkitegemea kupora ya BAKWATA mkadhibitiwa.Hamjengi shule,HOSPITALI wala misikiti
Raisi kawakatalia msisome wapi? elimu ni bure kuanzia msingi hadi sekondari mbona waislamu kibao wanasoma? vyuo vikuu pia wamejaa tele.Wewe utakuwa mwislamu siasa kali msiopenda shule
Kwa sheria ya usajili wa vyama visivyo vya kiserikali kama NGO kama ambavyo BARAZA KUU la akina PONDA lilivyosajiliwaBakwata imeanzishwa kwa sheria gani?
Kuna swali pale juu nimeshindwa kujibu.
Kula ugali kwa kiwikoUgaidi ni nini?
Lengo la westerners ni kuhakikisha wanawagawa waislamu ili iwe rahisi kupigana na wao kuchukua rasilimali. Nyie waislamu mmekuwa mkitumika vibaya sana kwa sababu ya udhaifu wenu wa kuamini mtu badala ya taasisi yenu na misingi ya dini yenu.BAKWATA wajanjajanja tu hao[emoji23][emoji23][emoji23]
Ova