Uchaguzi 2020 Mufti Mkuu wa Waislamu Sheikh Zuberi leo Korogwe mbele ya Rais Magufuli

Lengo la westerners ni kuhakikisha wanawagawa waislamu ili iwe rahisi kupigana na wao kuchukua rasilimali. Nyie waislamu mmekuwa mkitumika vibaya sana kwa sababu ya udhaifu wenu wa kuamini mtu badala ya taasisi yenu na misingi ya dini yenu.
Taasisi yenyewe Bakwata?

Chefuuuuuu.
 
Taasisi yenyewe Bakwata?

Chefuuuuuu.
Kuna viumbe ka uamusho kazi yao ni kutengeneza mitafaruku, mfano kukifundisha wewe kuichukia bakwata etc, kukufundisha kumchukia mkristu etc
 
Nasoma taarifa yako, lkn ukivyomaliza nami kikanijia kichefuchefu. Mufti anaomba barabara ya kijijini kwake?!?!?! Badala ya kuwaombea mashekhe wenziwe?

Niseme tu kana haja ya kuanzishwa chuo cha kusomesha viongozi ili mtu anaeitwa Shekhe apatikane kwa cheti na sio watu wanashaurizana na wake zao asubui anaamka nae anajiita shekhe.

Ukweli wenye Leo wanaojiita mashekhe ni watu wenye elimu ya uganga. Na wengi ni wandengereko na wasambaaa
 
Uamusho ni wanatumika kama magaidi, uislam hauna vinasaba vya ugaidi, Shekhe hawezi kutetea watu wanaoharibu taswira ya ugaidi.
Hizo ni shutuma hata Mandela alikaa jela bila kupelekwa mahakamani kwa tuhuma za ugaidi. Of course hakuna mtu anataka tuishi na magaidi ambao Mara nyingi wanalipua waumini misikitini.

Sisi waislamu wa haki kilio chettu kwa serikali,,, wapelekeni mahakamani na kama kuna ushahidi wahukumiwe kwa mujibu wa sheria na kama ni visingizio basi waachiwe.

Mashekh waliopo jela si wa uamsho tu. Karibu kila mkoa kuna mamia ya mashekh wamekamatwa kwa tuhuma za ugaidi
Je, unaweza kuamini kwa kipindi cha miaka mitano Tanzania pamekamatwa watu wengi kwa tuhuma za ugaidi kuliko Afghanistan?

Huyu jamani ni katili Sana

Mungu amlaani
 
Ombi hili angelitoa pale hadharani Mufti angesikilizwa na Rais, lakini kwakuwa Bakwata si chombo cha kutetea waislamu Mufti ametoa ombi la kujengewa barabara ya kwenda kijijini kwao.
Ubinafsi mwingine tena at work. Mtu wa hadhi yake hapaswi kutoa ombi lenye ukungu, uvundo na ukakasi wa ubinafsi.
 
Na hakuna atakaekuja kuwatoa hao kaka, chukua hiyo itakusaidia
 
Lengo la westerners ni kuhakikisha wanawagawa waislamu ili iwe rahisi kupigana na wao kuchukua rasilimali. Nyie waislamu mmekuwa mkitumika vibaya sana kwa sababu ya udhaifu wenu wa kuamini mtu badala ya taasisi yenu na misingi ya dini yenu.
Mimi mkatoliki ujue....

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 


Hao BAKWATA NI USALAMA WA TAIFA TISS
 


Hao Bakwata ni TISS
 

Amin
 
Matendo ya hawa mashehe njaa yanafanya hata sisi maamuma swala zetu ziwe za viraka viraka
 
Tukimaliza kuapishana na kuchunguzana na polisi tukampigie kura JPM namna hii
 

Attachments

  • IMG-20201021-WA0002.jpg
    98.5 KB · Views: 2
Sio kisheria sema kimazoea na kisiasa!

Bakwata ni kikundi kama cha Tawla au cha TGNP,

Ni kikundi cha hiyari

Bakwata imeanzishwa kwa sheria ipi?
Mimi sio Muslim ,ila ninachojua Bakwata ndio chombo kinachotambulika na serikali yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…